Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Muundo upi wa Muungano unafaa?

  • Serikali 1

    Votes: 81 23.3%
  • Serikali 2

    Votes: 22 6.3%
  • Serikali 3

    Votes: 241 69.5%
  • Sijui

    Votes: 3 0.9%

  • Total voters
    347
  • Poll closed .
3
 
Muundo mzuri wa muungano ni wa Serikali 2. moja ya Tanganyika na Zanzibari. kisha kuwe na office maalum ya kushughulikia mambo ya muungano ambayo itausisha wajumbe (wabunge) kutoka Tanganyika na Zanzibari. Kutakuwa na Bunge la Tanganyika, Zanzibar na Bunge la Muungano.
 
Rudia tena hizi kura hi 2026.
 
Muungano wa mkataba ni bora zaidi.
Kila nchi iwe na Soveregn yake kisha tukutane kwenye Mkataba wa baadhi ya mambo na ujirani mwema.
Kam tulivyo sisi na Kenya.
Muungano wetu umekomaa sana , lakini manunguniko ni mengisana.
Huenda tukiukosa kwa baadae tuutajifunza kuunda ulio bora zaidi .
 
Kichwa cha Habari kingetakiwa kisomeke: Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano usiofaa?
 
Rasimu ya Katiba aliyopendekeza Jaji Warioba kwa hakika ni nzuri na kwa upande fulani inatoa muongozo mzuri sana kwa Katiba lakini Katiba hiyo inahitaji ipitiwe na watu wengine ambao wana uwelewa mzuri na mkubwa kuhusu kutengeneza Katiba, wazo la mtu mmoja bado halitoshi kwa kufanya maamuzi makubwa kama hayo ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…