Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Muundo upi wa Muungano unafaa?

  • Serikali 1

    Votes: 81 23.3%
  • Serikali 2

    Votes: 22 6.3%
  • Serikali 3

    Votes: 241 69.5%
  • Sijui

    Votes: 3 0.9%

  • Total voters
    347
  • Poll closed .
WanaJF Kwa mda mrefu sasa kuelekea utungaji wa katiba mpya kumekuwa na mjadala mkali kuhusu muungano wetu uwe wa muundo upi sasa ningependekeza tuwe na kura ya maoni hapa JF kuhusu muundo wa muungano, upi ni muundo sahihi?

1.Serikali moja.
2. Serikali mbili.
3.Serikali tatu.


N:B ukiweza kutoa sababu za muundo wa muungano unaoutaka itakuwa vizuri zaidi

===============

Mkuu kbala ya kufikia hapo, swala la kujiuliza je watu wanautaka Muungano? Unadhani leo ukipitisha referendum, na ukiaifanya bila kuweka pressure yoyote Muungano kweli utakubalika? Hivyo kabla babisa ya kujiuliza sijui ni serikali ngapi, waulize wananchi kwanza kama wanautaka.
 
Kuchanganya tu hapa. KIla mtu ashike hamsini zake. Wao wanajitambua kama zanzibar na sisi tujitambue kama TANGANYIKA taifa huru lisilo na mashiko yoyote na zanzibar. Hii Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ifutwe mara moja.

Tutaishi nao kama vile tunavyoishi na majirani zetu wa kenya, uganda, burundi, rwanda, Zambia, Zimbabwe, na msumbiji, mbona freshi tu hakuna ubaya wowote utakaoleta shida. Mambo ya kubembeleza watu wenye entitlement mentality ni kujitesa na kupoteza muda plus kucompromise usalama wa taifa letu teule la Tanganyika ambalo kutwa kucha linaonewa wivu sababu ya umaridadi wake, umoja wake,utulivu, uvumilivu na uhimilivu.

Muungano hauna faida kwa sasa na umepoteza ladha, tunafosi sana umoja na watu wanaojiona ni first class human. Muungano uvunjwe tuishi kwa ujirani mwema tuache marumbano na visa visa vya kijinga kila siku.

Hebu angalia nchi zilizo zaliwa baada ya kufa katika Muungano wa Soviet Union....Sisi tukivunja Muungano hatutakuwa wa kwanza duniani...

The countries born after the collapse of the Soviet Union are: Armenia, Azerbaijan, Belarus, Estonia, Georgia, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Latvia, Lithuania, Moldova, Russia, Tajikistan, Turkmenistan, Ukraine, and Uzbekistan. These 15 nations gained independence when the USSR dissolved in December 1991.
 
Mkuu inawezekana watoto kwenye familia kuitisha kura ya maoni ili kuamua kuwa wanamtaka baba yao aendelee kuwa baba au la?

Angalia nchi zilizozaliwa baada kuvunjika Muungano wa Soviet Union...

Hebu angalia nchi zilizo zaliwa baada ya kufa katika Muungano wa Soviet Union....Sisi tukivunja Muungano hatutakuwa wa kwanza duniani...

The countries born after the collapse of the Soviet Union are: Armenia, Azerbaijan, Belarus, Estonia, Georgia, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Latvia, Lithuania, Moldova, Russia, Tajikistan, Turkmenistan, Ukraine, and Uzbekistan. These 15 nations gained independence when the USSR dissolved in December 1991.



 
Watanganyika tumechoka kujitoa sadaka utaifa wetu kuokoa Muungano it is either One Tanzania or Shirikisho la serikali 3, hakuna njia nyingine.

Njia nyingine ni kuuvunja.....Sisi Hatukuwa wa kwanza duniani....

Hebu angalia nchi zilizo zaliwa baada ya kufa katika Muungano wa Soviet Union....Sisi tukivunja Muungano hatutakuwa wa kwanza duniani...

The countries born after the collapse of the Soviet Union are: Armenia, Azerbaijan, Belarus, Estonia, Georgia, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Latvia, Lithuania, Moldova, Russia, Tajikistan, Turkmenistan, Ukraine, and Uzbekistan. These 15 nations gained independence when the USSR dissolved in December 1991.



 
mojaa hasa, mbili na tatu ni siasa
Ni kuuvunja...Hili linawezekana...

Hebu angalia nchi zilizo zaliwa baada ya kufa katika Muungano wa Soviet Union....Sisi tukivunja Muungano hatutakuwa wa kwanza duniani...

The countries born after the collapse of the Soviet Union are: Armenia, Azerbaijan, Belarus, Estonia, Georgia, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Latvia, Lithuania, Moldova, Russia, Tajikistan, Turkmenistan, Ukraine, and Uzbekistan. These 15 nations gained independence when the USSR dissolved in December 1991.



 
Serikali 3. Uchambuzi wa mzee Warioba unajitosheleza.
Haujitoshelezi...Maana hakuwauliza ambao wanata uvunjwe.....Au kufanya Referendum kupata mawazo ya Wananchi..... Kuuvunja inawezekana pia, ili kuepusha migogoro baadaye.....Sisi hatukuwa wa kwanza kuvunja Muungano...

Hebu angalia nchi zilizo zaliwa baada ya kufa katika Muungano wa Soviet Union....Sisi tukivunja Muungano hatutakuwa wa kwanza duniani...

The countries born after the collapse of the Soviet Union are: Armenia, Azerbaijan, Belarus, Estonia, Georgia, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Latvia, Lithuania, Moldova, Russia, Tajikistan, Turkmenistan, Ukraine, and Uzbekistan. These 15 nations gained independence when the USSR dissolved in December 1991.



 
Wazenji wapo 1.5 million tu ! Lakini ni wajanja zaidi wamewekeza kwenye Ubunge Uwaziri na vyeo vingi tu wao ni wachache lakini Viongozi ni wengi sana ambapo wanalipwa na pesa ya Jasho la Tanganyika kisha wakishiba wanaanza kulalamikia lalamika ili kuwapumbaza watanganyika wasijitfmbue Kuwa Wanachunwa Kama buzi

Option ILIYO WAZI NA SALAMA NI KUPATA MAWAZO YA WANANCHI....ILI TUJUE NI WANANCHI WANGAPI WANAUTAKA HUO MUUNGANO.....HATUKUWA WA KWANZA KUVUNJA MUUNGANO DUNIANI......

Hebu angalia nchi zilizo zaliwa baada ya kufa katika Muungano wa Soviet Union....Sisi tukivunja Muungano hatutakuwa wa kwanza duniani...

The countries born after the collapse of the Soviet Union are: Armenia, Azerbaijan, Belarus, Estonia, Georgia, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Latvia, Lithuania, Moldova, Russia, Tajikistan, Turkmenistan, Ukraine, and Uzbekistan. These 15 nations gained independence when the USSR dissolved in December 1991.



 
Serikali 3 ndiyo mpango mzima.... Mimi nashangaa CCM wanampango gani na WaTanganyika. Serikali Mbili ni Kichaka cha kugawana vyeo na Kuuza hovyo Resources za Tanganyika kwa Mgongo wa Muungano.

Hata Hivyo kama JK amemaliza Miaka yake miwili ama akiwa Angani au Nchifulani maana yake ni kwamba hatuna Rais wa kuhangaika na Mambo yetu watanganyika.

Ni mara ngapi maamuzi mazito yakawa yanasuburi ama Rais atue au Arejee kutoka nje? Je kwa nini tusiwe na Rais wa kufanya majukumu ya Tanganyika...

Kwani ikifanyika referendum kuna ubaya gani....ili tujue tunautaka au hautakiwi...!

Hebu angalia nchi zilizo zaliwa baada ya kufa katika Muungano wa Soviet Union....Sisi tukivunja Muungano hatutakuwa wa kwanza duniani...

The countries born after the collapse of the Soviet Union are: Armenia, Azerbaijan, Belarus, Estonia, Georgia, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Latvia, Lithuania, Moldova, Russia, Tajikistan, Turkmenistan, Ukraine, and Uzbekistan. These 15 nations gained independence when the USSR dissolved in December 1991.



 
Moja ndo mpango mzima
Kwa ni mawazo ya wananchi yakachukuliwa? India na Pakstani walijitenga.....au umesahau Soviet Union....

Hebu angalia nchi zilizo zaliwa baada ya kufa katika Muungano wa Soviet Union....Sisi tukivunja Muungano hatutakuwa wa kwanza duniani...

The countries born after the collapse of the Soviet Union are: Armenia, Azerbaijan, Belarus, Estonia, Georgia, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Latvia, Lithuania, Moldova, Russia, Tajikistan, Turkmenistan, Ukraine, and Uzbekistan. These 15 nations gained independence when the USSR dissolved in December 1991.



 
Serikali iwe moja ambayo itaongozwa na Rais mmoja then kuwepo na waziri mkuu wa Zanzibar na Tanganyika hapo mambo yataenda sawa lakini eti maraisi watatu mmmmhhh hapana kwakweli
Gharama zote hizo za nini...Na hiyo administrative complexity itaturidisha hapa tulipo....Fanya referendum kujua wananchi wanataka nini.....Option ya kuuvunjua ni njia nyepesi zaidi, Ulimwenguni hatutakuwa wa Kwanza....India Pakistan, Bangladesh....Au mnasahau Soviet Union

Hebu angalia nchi zilizo zaliwa baada ya kufa katika Muungano wa Soviet Union....Sisi tukivunja Muungano hatutakuwa wa kwanza duniani...

The countries born after the collapse of the Soviet Union are: Armenia, Azerbaijan, Belarus, Estonia, Georgia, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Latvia, Lithuania, Moldova, Russia, Tajikistan, Turkmenistan, Ukraine, and Uzbekistan. These 15 nations gained independence when the USSR dissolved in December 1991.



 
serkal 2 ili kuepusha kuvunja muungano siku za usoni
Kwani Kuna ubaya gani kuvunjika Kama hauleti faida yoyote zaidi ya hasara ya kuuliwa watu , na ikiwa watu hawautaki hasa Wazanzibari waliolazimishwa kwa mtutu wa bunduki ?
 
Serikali moja itakuwa sahihi zaidi kws sababu kuwa na serikali tatu ni sawa na kurudi nyuma. Tulishatoka kwenye tatu, tukaenda ku-pratice serikali mbili, sasa kama tunataka kudhibitisha kwamba muungano ni wa kweli basi sasa na tuunde Katiba na serikali moja.
 
WanaJF Kwa mda mrefu sasa kuelekea utungaji wa katiba mpya kumekuwa na mjadala mkali kuhusu muungano wetu uwe wa muundo upi sasa ningependekeza tuwe na kura ya maoni hapa JF kuhusu muundo wa muungano, upi ni muundo sahihi?

1.Serikali moja.
2. Serikali mbili.
3.Serikali tatu.


N:B ukiweza kutoa sababu za muundo wa muungano unaoutaka itakuwa vizuri zaidi

===============
Mi naona serikali ya Zanzibar na desolven na visiwa vyote view part ya Tanzania kiunumla kwamba unguja na oemba iwe mikoa na wilaya zake, na zote ziwe chini ya serikali 1 kuu, la sivyo cha zaidi hapo labda serikali 3: serikali ya bara, serikali ya Zanzibar na serikali ya muungano, ila hapo bado naona hii yote itafanyq mambo kuwa mengi namakubwa, sasa serikali 3 wafanyakazi wengi na expenses kubwa na tunavyowajua wanavyopemda kuspend hela kwenye expenses za ajabu ndio itakuwa balaa zaidi.

Mi kwa maoni kwa maoni yangu naona nchi iwe 1 na kila kitu kiww kwenye serikali 1 kuu
 
Kwan hakuna speech ya Mwal Nyerere ambayo anasema kama ikiwa huu muungano umewashindeni hamna budi kuwachana nao ? haileti tafsiri nzuri eti taifa lenzio lina kuita jina baya kabisa lenye kuchukiza jina ''mkoloni'' jambo hili lina paswa kupatiwa suluhisho ya kudumu ambayo ni kuachana na haya mambo.
 
Mimi msimamo wangu ni kuwepo na serikali moja na mihimili minne. Yaani kama ifutavyo.

1. BARAZA LA USIMAMIZI WA TAIFA
(LISIMAMIE MISINGI YOTE YA KITAIFA, YAANI HAKUNA MUHIMILI UNACHUKUWA JUKUMU LA MUHIMILI MWENGINE KINYUME NA KATIBA AU KUINGILIA MAJUKUMU YA MUHIMILI MWENGINE, "KWA LUGHA YA MCHEZO NI SAWA NA KUSEMA BARAZA NI REFA ANAEANGALIA WACHEZAJI WACHEZE NDANI YA SHERIA ZA MCHEZO" NA KUTOA MUONGOZO, NA TATHMINI ZA KITAIFA)

2. SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
(ITEKELEZE SERA ZA SERIKALI, ITEKELEZE MATAKWA YA WANANCHI, NA UENDELEVU WA TAIFA KATIKA MASWALA YA ULINZI, AFYA, DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO ENDELEVU NA USTAWI WA JAMII NA DIPROMASIA)

3. BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
(LIPITISHE BAJETI ZOTE, LITUNGE SHERIA NA KUJADILI MUELEKEO WA TAIFA)

4. MAHAKAMA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
(ITAFASIRI KATIBA NA SHERIA ZA NCHI NA KUTOA HUKUMU)

Binafsi naamini muundo huu unamaliza shida zote za taifa letu Na kwa anayetaka kuona muundo huo asome rasimu kwenye Tovuti ya: www.katibampya.com
 
Hakutakuwa na katiba mpya 2028. Hata tukiipata, haitaruhusu kuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hakutakuwa na kura ya maoni kuwauliza wananchi: Mnautaka muungano?

Kwahiyo confederation ni bora kuliko muungano huu tulio nao sasa.

Confederation ni shirikisho la nchi huru ambalo serikali yake haina nguvu ya kuzitawala nchi hizo. Ni serikali ya makubaliano machache tu.

Hata Muungano wa nchi za Afrika Mashariki ndiyo aina ya muungano ambao unaweza kukubaliwa: confederation.

Hakuna nchi itakayokubali kuwa chini ya serikali moja yenye nguvu ya kuzitawala nchi hizo kama ilivyo katika federation. Ndiyo maana kuna Wakenya wanaosema nchi yao haitakubali kuwa na serikali ya federation itakayo watawala lakini wataunga mkono aina ya shirkisho ambalo ni confederation. Ni kama nchi za Ulaya zilivyo katika European Union. European Union ni aina ya confederation.

Hata nchi zingine za East Africa, pamoja na Tanzania, zinataka confederaton ya Nchi za Afrika Mashariki, siyo federation ambayo labda itakuja baadaye. Labda!

Ipi ni bora? Confederation au muungano tulionao sasa? Sahau kuvunja muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hizo ni ndoto tu. Labda CCM ikiondolewa madarakani na ikiwa tutakuwa na katiba tofauti kabisa itakayo ruhusu kuvunja muungano.

Be realistic. Achana na ndoto.

Tukiwa na confederation ya nchi za Afrika mashariki, Zanzibar, ikitaka, itajiunga na confederation hiyo as an independent state kama Tanganyika nayo itakavyojiunga kama nchi huru.
 
Serikali 3 ndo mpango mzima!
Kwanini isiwe serikali mbili kila nchi iwe na nchi yake , Muungano haupo huu ni uvamizi wa Tanganyika kwa Zanzibar. Hakuna Mzanzibari wala mTanganyika aliyeulizwa kuhusu huu muungano. Hili ni balaa kubwa kwa Zanzibar tokea 1964 tunateseka. Wacha ufilie mbali Kama Cape Verde na Guinea bissau. Kila nchi ishughulike kujenga nchi yake iliyooza kwa sera Za CCM
 
Back
Top Bottom