Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 412
Moja ndo mpango mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali 2 ndo mpango mzima! Tukiendekeza 3 Serikali ya Muungano itakuwa haina hata ardhi (ardhi si suala la Muungano) na itakuwa ombaomba kwa nchi washirika kwa kuwa haina vyanzo vya mapato vya kwake!
tuendelee na serikali mbili,kama saivi..
Tatu za kazi gani,kuongeza cost tu,af huyo rais wa serikali 3 me naona atakuwa powerless,
Serikali tatu n upuuz mtupu cha zaid n kutengenezeaa watu ulaji kama mbili zmeshindwa tatu ztawezeaa wap????
teh, mkuu wanahofu na gharama za uchaguzi.Mkuu sasa hivi tunatengeneza mpya ...hiyo ya zamani ni reference tu kwa ajili ya kuendesha mchakato wa kupata mpya...lakini
mleta uzi hajafafanua vizuri...kuhusu kipengele cha serikali mbili...
Kwani unaweza kuwa na serikali mbili zilizo huru, zinz viti huko UN, yaani Serikali ya Zanzibar na serikali Tanzania Bara zilizo huru. Ama serikali mbili kwa muundo wa sasa (Muungano na Zanzibar). Hivyo ningeshauri...poll irudiwe (upigaji kura wa uzi huu urudiwe)...ili options zote mbili ziwe 'captured'. Ni hayo tu.