Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Muundo upi wa Muungano unafaa?

  • Serikali 1

    Votes: 81 23.3%
  • Serikali 2

    Votes: 22 6.3%
  • Serikali 3

    Votes: 241 69.5%
  • Sijui

    Votes: 3 0.9%

  • Total voters
    347
  • Poll closed .

Muundo upi wa Muungano unafaa?​

Muundo sahihi na wenye tija kwa walio wengi ni 2 (Tanganyika na Zanzibar), mashirikiano ni kwa kupitia East African community. Sio kama sipendi muungano au namchukia mtu wa bara, huo ndio ukweli halisi muungano huu ni wa kisiasa na hauna tija yoyote ya kiuchumi.

Alie na sababu za kiuchumi anieleze kuna faida gani ya kuwa na muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wakati kuna jumuiya ya afrika mashariki with better arrangement ? What a waste of time and resources, Vugu vugu la africanism, really ... wtf ? 😎
 
Muungano Mzuri ni Serikali.1 kama sivyo serikali.3!
 
Ili swala la upande kwa wenzetu wa visiwani(zanzibar)... kiukweli hawana mila na desturi ya kuongozwana mwanamke ndomana hawautaki muungano wenyewe na hawataki kusikia habari za muungano

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Muundo wa Selikali 3.
1.Selikali yaJamhuri ya Tanganyika.
2.Selikali ya Jamhuri ya watu wazanzibar
3.Selikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
NB:- (1-2) Ndizo zibaki kuwa na lasli Mali watu,Jeshi,polisi,Takukuru,Vikosi vya uokoaji,Jeshi la majini na nchi kavu na angaa.
Uidhinishwaji nchi kuingia vitani uidhinishwe na viongozi wakuu wote wakiongozwa na Wajamhuri.Mawaziri wawe nchini ya 1-2) kila nchi ichangie idadi kadhaa ya kuunda vikosi vya Selikali ya Muungano.

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
1)Time isio na uitikadi ya watalaam waliomba na kutanyiwa interview .
2)Selikali za mitaa wawe wapiga kura na sio wasimamizi wala waratibu wa zoezi LA kura yoyote ya maoni.
3)Matokeo ya kila kituo yabandikwe eneo husika .
4)Vyombo vya dola vibaki walinzi wa usalama na wasiwe na mamlaka ya kuamua chochote katika kituo cha kura.
5) Taarifa ya matokeo iwe inline na kila mwenye nafasi akipenda aingie online aone kura za kila kituo,mitaa,kitongoji,kijiji,kata,wilaya,mkoa na majumuisho:- Aone ila mfumo usiwe wa kufanyiwa editing na mtu yeyote .

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Serikali tatu zenye mamlaka kamili, na Mfumo wa majimbo ndio hasa hitajio la Tanzania, tuache kubebana bebana ,kila watu wale kwa mujibu wa juhudi zao na rasilimali zao katika maeneo yao
 
Narudia tena serikali tatu ni mzigo kwa watanzania tukishindwa serikali moja, bora kugawana fito. Hizi bra bra za serikali tatu. Ni hira za wanasiasa.
 
Back
Top Bottom