Kura ya Maoni Uchaguzi 2025, Iko wapi REDET ya Dr. Benson Bana? na wengine!!

Kura ya Maoni Uchaguzi 2025, Iko wapi REDET ya Dr. Benson Bana? na wengine!!

Joined
Aug 14, 2025
Posts
14
Reaction score
54
Nimejiuliza ni kwa nini REDET - A University of Dar es Salaam centre for Research and Education for Democracy in Tanzania, haifanyi utafiti (survey on opinion polls) kama ilivyofanya mwaka 2020 Tanzania ilipokaribia uchaguzi mkuu. This time, nafikiri REDET wanapaswa kufanya utafiti wa kisayansi, ili kubaini ni Watanzania wangapi wataipigia watashiriki uichaguzi mkuu ikitiliwa maanani mchakato mzima unavyoendeshwa kwa namna yake
 
Back
Top Bottom