Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
Naona vapour tu hapa,chuo ulichomaliza kiboko ngonjera,mashairi na mipasho ulipata A!
Bora nilipata A,hongera wewe wa division five mpaka kwenye kufikiri.Unasubiri binadamu mwenzio akupangie nini cha kufikiri.Umesharudi Buguruni?Hao unaowafuata unatumia hata Condom?Maana wale waliofumua Marinda wote ninawasiwasi Afya zao mgogoro.Haya wamekwambia ATM FOLENI YAKE LINI TENA.mh.Haya Dodoma hawajatoka bado?Naona pressure ilikuwa juu sana.Mgombea wako amefanikiwa kuingia japo tano bora?


