Naona vapour tu hapa,chuo ulichomaliza kiboko ngonjera,mashairi na mipasho ulipata A!
Bora nilipata A,hongera wewe wa division five mpaka kwenye kufikiri.Unasubiri binadamu mwenzio akupangie nini cha kufikiri.Umesharudi Buguruni?Hao unaowafuata unatumia hata Condom?Maana wale waliofumua Marinda wote ninawasiwasi Afya zao mgogoro.Haya wamekwambia ATM FOLENI YAKE LINI TENA.mh.Haya Dodoma hawajatoka bado?Naona pressure ilikuwa juu sana.Mgombea wako amefanikiwa kuingia japo tano bora?
Wala hawa tunawamudu.Sina haja ya kumtukana nageuza tu maneno yake.Hawa ni zile ID za CCM ambazo mtu yoyote ana log in nakutuma chochote ili mradi kutoa taswira mbaya juu ya UKAWA.Hawa wanatamani wasikie hata leo hakuna ukawa.Ni wanasiasa za kambare kuishi kwenye matope.Tutaenda nao tu mdogomdogo.Wataelewa kama maharage ni mboga na pia futari..
ID sio yako hii uko lindo nimekushtukia,Tetty original hana ujinga huu!
Itabidi nikupe kazi ya kunitafuta.Ukija kunijua na ubatizo nitakupatianila shida ni hapo utakapojuyia muda wako kuwapigia jalamba wezi wa mali ya umma.Huwa nabadilika kulingana na tabia ya mtu.Ukija kibabe nakuwa mbabe.Ukija na mipasho nakuja hivyo hivyo.Nimejifunza kutokana na tabia za watu.pole mie ni yule uule antiCCM.Pole
BUGURUNI TEAM njaa zitakuua mwaka huu na humpati mtu wewe,domo lako limejaa uongo na kila unachopost ni vapour nimeshakustukia na ID ya kuazima wewe sio Tetty ni kibaraka wa UPAWA unayechezeshwa song la Masugu aka MALEMA,Dj MAMBOWE na gate keeper dogo janja eti kwa mfumo huu mnaota kwenda Jehanum ya moto sio Ikulu!
Dada upo kwenye siku zako?
pole naona unarudia yale yale.anyway what i need today is a cup of :tea: And 😛ray2:😛ray2: Don't have time for pu........m........ba....vu......karibu sana kwetu.wish you a good weekend......
Kwa elimu ya bure 2015 vote for ukawa
ukawa team and the likeView attachment 253896
Na bado ukawa hakuna kitu, watasambaratika tuu
Mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Yote tisa kumi 2015 VOTE FOR UKAWA...............Haijalishi unafikiria kwa miguu ,mikono au kichwa.....:wave::wave::wave: Mwisho wa CCM ATM ni 2015
Watu wa Tanga mna shida sana, nyie endeleeni kuchagua CCM maana ndie mama yenu na ndie baba yenu huyo!
Hawajafanya vizuri bhana
Na wewe Ukawa ni kama mama yako na baba yako!Watu wa Tanga mna shida sana, nyie endeleeni kuchagua CCM maana ndie mama yenu na ndie baba yenu huyo!
Wewe ni sifuri humo kichwani huna lolote mchumia tumbo wewe na hao walokutuma.
View attachment 254047
Mchumia tumbo namba moja wa Ukawa wewe njaa itakuua.
View attachment 254048