Kura ya mapema: Crossing the Rubicon

Kura ya mapema: Crossing the Rubicon

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
CROSSING THE RUBICON

Julius Caesar alivuka Mto Rubicon mwezi Januari 49 BC akiwa na jeshi kubwa nyuma yake na baada ya mguu wake kukanyaga upande wa pili wa mto vita ya wenyewe kwa wenyewe baina ya Warumi ikaanza.

Kesho ni tarehe 27 Oktoba 2020 siku ya Kura ya Mapema Zanzibar siku ambayo Maalim Seif leo ametoa tamko kuwa Wazanzibari watoke kwa amani wakapige kura.

Maalim Seif Shariff Hamad ana jeshi kubwa la Wazanzibari nyuma yake wanaomuunga mkono.

Nashindwa kuendelea kuandika.

Mpenzi msomaji wangu unadhani nini kitatokea?

Tumuombe Allah atupe nusra kwani dua inafuta qadar, yaani kile ambacho mwenyewe Allah alishakipitisha kitokee.
 
Kama mkoloni alivyong'olewa Zanzibar ccm nao watang'oka. Wakati ni ukuta na kwa Zanzibar CCM wakati umewatupa mkono
 
..sioni umuhimu au ulazima wa kura ya mapema.

..watakaopiga kura ya mapema ya Zec kesho tarehe 27, wanatakiwa kupiga kura ya Nec tarehe 28.

..kwa msingi huo utaona kwamba kura ya mapema haina mantiki yoyote ile.

..kuepusha uhasama nashauri kura ya mapema isitishwe, na Waznz wote wapige kura pamoja tarehe 28.
 
Ni uhuni wa ZEC Mkuu ili kurahisisha wizi wao. Hakuna sababu yoyote ya muhimu ya vyombo vya dola kupiga kura siku moja kabla. Mbona huku bara hatuna utaratibu kama huo? Mimi naona Seif Shariff Hamad yuko sawa tu kuwataka Wazenj wakapige kura kesho.
..sioni umuhimu au ulazima wa kura ya mapema.

..watakaopiga kura ya mapema ya Zec kesho tarehe 27, wanatakiwa kupiga kura ya Nec tarehe 28.

..kwa msingi huo utaona kwamba kura ya mapema haina mantiki yoyote ile.

..kuepusha uhasama nashauri kura ya mapema isitishwe, na Waznz wote wapige kura pamoja tarehe 28.
 
..sioni umuhimu au ulazima wa kura ya mapema.

..watakaopiga kura ya mapema ya Zec kesho tarehe 27, wanatakiwa kupiga kura ya Nec tarehe 28.

..kwa msingi huo utaona kwamba kura ya mapema haina mantiki yoyote ile.

..kuepusha uhasama nashauri kura ya mapema isitishwe, na Waznz wote wapige kura pamoja tarehe 28.
CCM hawaelewi hili na hawataki kusikiliza mtu. Wamekuwa kama kenge. Hadi damu iwatoke masikioni ndiyo wataelewa
 
CROSSING THE RUBICON

Julius Caesar alivuka Mto Rubicon mwezi Januari 49 BC akiwa na jeshi kubwa nyuma yake na baada ya mguu wake kukanyaga upande wa pili wa mto vita ya wenyewe kwa wenyewe baina ya Warumi ikaanza.

Kesho ni tarehe 27 Oktoba 2020 siku ya Kura ya Mapema Zanzibar siku ambayo Maalim Seif leo ametoa tamko kuwa Wazanzibari watoke kwa amani wakapige kura.

Maalim Seif Shariff Hamad ana jeshi kubwa la Wazanzibari nyuma yake wanaomuunga mkono.

Nashindwa kuendelea kuandika.

Mpenzi msomaji wangu unadhani nini kitatokea?

Tumuombe Allah atupe nusra kwani dua inafuta qadar, yaani kile ambacho mwenyewe Allah alishakipitisha kitokee.
Kitakacho tokea ni hiki - HAKUNA ASIYEHUSIKA NA KURA HIYO ATAKAYETOKA! Watakuwa wakimsubiri Maalim Seif aende kwanza ndipo NAO wafuate. Maalim hatatoka hata kwake, hivyo NANI AENDE? Hakuna!
 
..sioni umuhimu au ulazima wa kura ya mapema.

..watakaopiga kura ya mapema ya Zec kesho tarehe 27, wanatakiwa kupiga kura ya Nec tarehe 28.

..kwa msingi huo utaona kwamba kura ya mapema haina mantiki yoyote ile.

..kuepusha uhasama nashauri kura ya mapema isitishwe, na Waznz wote wapige kura pamoja tarehe 28.
Ni njia ya uporaji kura. CCM hawawezi kukubali isiwepo kura ya mapema kwa sababu ndiyo njia yao pekee ya kupora ushindi wa Maalim. Kinachonisikitisha ni kuwa kwa nini kila baada ya miaka mitano wanapoteza fedha, muda mali na zaidi wanaua watu wakati wanajua kuwa watapora ushindi? Si wangesema moja kwa moja kuwa hakutakuwa na uchaguzi au wakataze vyama vingi? Njua haya mambo kuna wakati yatafikia mwisho kwani kadiri siku zinavyokwenda ndivyo watu wanyozidi kuchoka na huu uhuni lakini hofu ni kuwa mwisho wake unaweza kuwa mbaya sana.
 
CROSSING THE RUBICON

Julius Caesar alivuka Mto Rubicon mwezi Januari 49 BC akiwa na jeshi kubwa nyuma yake na baada ya mguu wake kukanyaga upande wa pili wa mto vita ya wenyewe kwa wenyewe baina ya Warumi ikaanza.

Kesho ni tarehe 27 Oktoba 2020 siku ya Kura ya Mapema Zanzibar siku ambayo Maalim Seif leo ametoa tamko kuwa Wazanzibari watoke kwa amani wakapige kura.

Maalim Seif Shariff Hamad ana jeshi kubwa la Wazanzibari nyuma yake wanaomuunga mkono.

Nashindwa kuendelea kuandika.

Mpenzi msomaji wangu unadhani nini kitatokea?

Tumuombe Allah atupe nusra kwani dua inafuta qadar, yaani kile ambacho mwenyewe Allah alishakipitisha kitokee.
Mkuu MS.
Umenikumbusha the Rubicon Speech ya PW Botha, 1985.
Speech ile ilimkasirisha Mwalimu na mapigano kuikomboa Afrika ya Kusini ndio yalipamba moto.
 
Back
Top Bottom