Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
..sioni umuhimu au ulazima wa kura ya mapema.
..watakaopiga kura ya mapema ya Zec kesho tarehe 27, wanatakiwa kupiga kura ya Nec tarehe 28.
..kwa msingi huo utaona kwamba kura ya mapema haina mantiki yoyote ile.
..kuepusha uhasama nashauri kura ya mapema isitishwe, na Waznz wote wapige kura pamoja tarehe 28.
CCM hawaelewi hili na hawataki kusikiliza mtu. Wamekuwa kama kenge. Hadi damu iwatoke masikioni ndiyo wataelewa..sioni umuhimu au ulazima wa kura ya mapema.
..watakaopiga kura ya mapema ya Zec kesho tarehe 27, wanatakiwa kupiga kura ya Nec tarehe 28.
..kwa msingi huo utaona kwamba kura ya mapema haina mantiki yoyote ile.
..kuepusha uhasama nashauri kura ya mapema isitishwe, na Waznz wote wapige kura pamoja tarehe 28.
Kitakacho tokea ni hiki - HAKUNA ASIYEHUSIKA NA KURA HIYO ATAKAYETOKA! Watakuwa wakimsubiri Maalim Seif aende kwanza ndipo NAO wafuate. Maalim hatatoka hata kwake, hivyo NANI AENDE? Hakuna!CROSSING THE RUBICON
Julius Caesar alivuka Mto Rubicon mwezi Januari 49 BC akiwa na jeshi kubwa nyuma yake na baada ya mguu wake kukanyaga upande wa pili wa mto vita ya wenyewe kwa wenyewe baina ya Warumi ikaanza.
Kesho ni tarehe 27 Oktoba 2020 siku ya Kura ya Mapema Zanzibar siku ambayo Maalim Seif leo ametoa tamko kuwa Wazanzibari watoke kwa amani wakapige kura.
Maalim Seif Shariff Hamad ana jeshi kubwa la Wazanzibari nyuma yake wanaomuunga mkono.
Nashindwa kuendelea kuandika.
Mpenzi msomaji wangu unadhani nini kitatokea?
Tumuombe Allah atupe nusra kwani dua inafuta qadar, yaani kile ambacho mwenyewe Allah alishakipitisha kitokee.
Ni njia ya uporaji kura. CCM hawawezi kukubali isiwepo kura ya mapema kwa sababu ndiyo njia yao pekee ya kupora ushindi wa Maalim. Kinachonisikitisha ni kuwa kwa nini kila baada ya miaka mitano wanapoteza fedha, muda mali na zaidi wanaua watu wakati wanajua kuwa watapora ushindi? Si wangesema moja kwa moja kuwa hakutakuwa na uchaguzi au wakataze vyama vingi? Njua haya mambo kuna wakati yatafikia mwisho kwani kadiri siku zinavyokwenda ndivyo watu wanyozidi kuchoka na huu uhuni lakini hofu ni kuwa mwisho wake unaweza kuwa mbaya sana...sioni umuhimu au ulazima wa kura ya mapema.
..watakaopiga kura ya mapema ya Zec kesho tarehe 27, wanatakiwa kupiga kura ya Nec tarehe 28.
..kwa msingi huo utaona kwamba kura ya mapema haina mantiki yoyote ile.
..kuepusha uhasama nashauri kura ya mapema isitishwe, na Waznz wote wapige kura pamoja tarehe 28.
Mkuu MS.CROSSING THE RUBICON