MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
Kama muonavyo wajumbe wanavyotetemekewa nyakati hizi na ma kada mbalimbali ambao wanahitaji kuja kugombea katika nafasi mbali mbali katika uchaguzi Mkuu unapokuja japo kuna swala la no reforms no election. Hivyo ndivyo itakavokuwa kwa mpiga kura endapo kura yake itarejeshewa heshima yake.
Kwa maoni yangu, mnaona mpaka baadhi ya viongozi wa kisiasa wanathubutu kumuita mpiga kura "KENGE" hakika hii ni kutokana na hali ya mpiga kura kupokonywa uwezo wa kumchagua kiongozi anayemtaka na badala yake viongozi kupachikwa pachikwa kinyume na sheria na kanuni.
Wanaosema "no reforms no election" wana akili nyingi sana. Imagine kama MTANZANIA atapewa mamlaka ya kupiga kura na kura yake ikapewa thamani je kuna kiongozi gani wa kisiasa atathubutu kukudharau mpiga kura wake? Jibu ni hakuna na automatically viongozi watasimama na mwananchi kwasababu yeye ndiye Boss.
Ndugu zangu tusimame pamoja kudai haki ya kuthaminiwa Kwa kura zetu na hiyo ndiyo itakuwa tiba ya kupata heshima yetu kutoka kwa viongozi tunaowachagua. Hatutaitwa ma kenge tena.