Kura ya Siri: Maoni ya Mheshimiwa Zitto Kabwe



Maelezo ni sahihi kabisa.
Weka kwenye muktadha wa sasa ndani ya bunge hili.
CCM ilifanya hila kuweka wajumbe wengi kwa migongo ya aina ya vikundi vyoteili sera zake zipite , lakini bado hao hawaaminiki na CCM japo wanawahonga na kuwaahidi zawadi mbali mbali, hivyo ni muhimu ihakikishe hawafanyi kosa.
Wajumbe hawa walioteuliwa kama hongo wametishwa sana na watawapendeza ccm kwenye kura ya wazi lakini ikiwa ya siri ni piga ua na ni mwisho wa CCM. Na CCM inajua hilo, hivyo lazima wapiganie kura ya wazi.

Mpaka sasa CCM ndio chama kilichopoteza kwa asilimia kubwa sana kwenye rasimu ya Warioba ndio maana walileta rasimu nyingine haramu mbadala na kumtukana mzee Warioba saa zote.
Ni CCM pekee isiyowaamini wajumbe wake, na ndio yenye uwezo wa kuadhibu na kuwazawadia wajumbe kadiri ya utendaji wao.
Hivyo, kura ya wazi ni ya muhimu sana kwa CCM kuliko ya siri kwa CDM
CCM iliyopo sasa ni ya MAFISADI na wenye uchu wa madaraka, CCM ya nyerere imepokwa, ndio maana ya sasa siyo shirikishi ni ya wateule.
Ikumbukwe CCM ndio ilo vunja muungano, msingi ni mkapa na kikwete ka sakafia kwa katiba ya znz. sasa leo wana haha, wameona wakitoka asilimia 90 ni makuruta wa segerea
ZZK ni kipenzi cha CCM Mafisadi, hivyo atawatetea kwa namna yoyote ile hasa penye mwanya wa hoja. Zaidi na yeye ni mnufaika wa huo ufisadi

 
Naunga mkono hoja kura za kula ndio ziwe wazi, kura za haki na mustakabala wa taifa ziwe siri!.
Pasco

Eleweka mkuu. Tatizo lako bana u kinyonga na kama mbwa kwa chatu (zzk)
 

Kama kweli kaandika hivi, napata shida kama ni kweli yule Zitto mwanaharakati tuliyemzoea, hivi ni nini kimemtokea mwanaharakati kijana kubadilika ghafla na kuwa kwenye kundi ambalo inatia shaka ueledi wake!
 
Siku hiz haonekani huku JF.Yupo kule kwake Facebook.Naona anaogopa huku.
 
Zitto amenielewesha nimemuelewa lkn asubiri mwenye mawazo tofauti ili nijue vizuri,nimeshalegea huyu inabidi akafundishe kichwa sana.
 
Mwanakijiji naungamkono hojayako nanasisitiza twataka tuwaone wajumbe wetu misimamo yao ikoje juyamustakabali wa Taifa letu nasema zana zakutishana zishapitwa na wakati heri vita yakupigania haki kuliko kusujudu nakupiga magoti mbele ya mafisadi jamani mjue hiki kizazi ni cha www.com nyie ogopeni tu mjue tembo wetu wanakwesha
 
Naunga mkono kura ya wazi
1. Haichakachuliki
2. Wabunge watasema mawazo ya wananchi na si mawazo yao binafsi
3. Tutaweza kuja kuwasulubu 2015 kwa watakayotutendea waziwazi majimboni.

Naomba kura ya wazi ipite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…