ccm wanataka kura ya wazi ili kuona watakaowasaliti kwenye kutounga mkono serikali 2 ila kaeni mkijua mda wa kutishana umepita...kama mnapingana na MAJIRA NA NYAKATI tutawaona...kumbe ndo mana mlimuuwa DR. MVUNGI kwa msimamo wake dhidi ya serikali 3..damu yake itawalilia milele, kama mkifosi kujitengenezea katiba ya CCM lazima nchi iingie kwenye vita watz wa sasa sio wale wa mwaka 47..
Huo ni msimamo tuu wa ccm kwani kuna ubaya gani? , kwa nini ccm waonekane wasaliti? , na mnaotaka kura ya siri ni siri gani hiyo mnayoificha ? Au mmechukua mlungura hamtaki muonekane?: wanaotaka kura ya siri ndio wenye siri nzito juu ya katiba hii.

nkueleweshe ndugu msimamo wa viongozi wa juu wa ccm ni serikali 2 ila kuna wabunge wengi wa ccm hawakubaliani nayo so ikiwa wazi itakua rahisi kwa mkubwa wao kuona ambao hawataunga mkono ser 2 pia weng wataogopa bz alishawatisha...pia umeona wapi duniani watu wakipiga kura ya wazi