Duzente Siqwente
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 265
- 60
Mpigie kura ARABELA aweze kuibuka mshindi kwenye kinyan'ganyiro cha miss CHIT CHAT asanteni kwa kunielewa piga kura uwezavyo
Ahsanteni kwa kunisikiliza naombeni ushirikiano wenu
Mbona umeeka picha ya demu asiekuwa mimiwho are you by the way
Mbona umeeka picha ya demu asiekuwa mimi
hapana siwezi fanya hivyo hny
Poa my dia..hujambo?
sijambo my dear vp khali lakini
My dia Duzente Siqwente asante kwa kunipendelea mema