Uchaguzi 2020 Kura yangu kwa Lissu

Udikteta wa Magufuli haikubaliki. Ni Rais wa muhula mmoja. Arudi zake Chato. Ni Rais mwenye weledi duni kabisa. Hata lugha hususan kiingereza hajui.
 
Kura za watanzania wote bila kujali makabila, itikadi au dini ni kwa Tundu Antiphas Lissu
 
Midazolam kama benzodiazepine😅😅😅
 
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na Robert tu
Usaliti wake nini? Una akili timamu kweli kichwani wewe?
Usipende kukurupuka kama uharo, ni vyema utafakari unachoandika na uwe na hoja na unachoandika!
 
Usaliti wa lissu kwa Nchi ya Tanzania uko wazi
Hii laana ya usaliti haitamwacha salama lissu
Usaliti wake nini? Una akili timamu kweli kichwani wewe?
Usipende kukurupuka kama uharo, ni vyema utafakari unachoandika na uwe na hoja na unachoandika!
 

natamani uchaguzi upite zile kesi zianze kuskilizwa, na hii kutukana mapolisi kuwadharau akiwaita MAJINGA, wafanye yao maaana izi dharau zmezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…