Kura: Yupi ni mrembo zaidi kati ya Cutielove na Depal?

JamiiForums imejaliwa kuwa na warembo wengi lakini nimeona nichukue hizi sample mbil na watu mpige kura zenu ili tujue ni nani ataibuka mshindi.

Mshindi atashindanishwa na Money Penny kutoka kundi B.

Karibuni
Kwa hiyo unashindanisha majina sio ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…