Kura: Yupi ni mrembo zaidi kati ya Cutielove na Depal?

Kura: Yupi ni mrembo zaidi kati ya Cutielove na Depal?

JamiiForums imejaliwa kuwa na warembo wengi lakini nimeona nichukue hizi sample mbil na watu mpige kura zenu ili tujue ni nani ataibuka mshindi.

Mshindi atashindanishwa na Money Penny kutoka kundi B.

Karibuni
Kwa hiyo unashindanisha majina sio ?
 
Kura yangu inaenda kwa Depal hili pozz la ktk avata yake sio mchezo hata kama sio yeye ila watakuwa wanafana
Screenshot_20200414-084620.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom