Kura: Yupi ni mrembo zaidi kati ya Cutielove na Depal?

Kura: Yupi ni mrembo zaidi kati ya Cutielove na Depal?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
JamiiForums imejaliwa kuwa na warembo wengi lakini nimeona nichukue hizi sample mbil na watu mpige kura zenu ili tujue ni nani ataibuka mshindi.

Mshindi atashindanishwa na Money Penny kutoka kundi B.

Karibuni
 
Jamii forum imejaliwa kuwa na warembo weng,lakn nimeona nichukue hiz sample mbil na watu mpge kura zenu il tujue ni nan ataibuka mshind
Mshind atashndanishwa na Money penny kutoka kund B,karibun
Huo urembo unaupima kwa hisia ?
 
Cutelove ni mrefu nyuma kajazia,Depal ni mnene kwa juu lakn nyuma naye yumo ingawa sio sana!! toa kura yako
Kwa maelezo yako watu wajijenge picha vichwani mwao sio?

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Jamii forum imejaliwa kuwa na warembo weng,lakn nimeona nichukue hiz sample mbil na watu mpge kura zenu il tujue ni nan ataibuka mshind
Mshind atashndanishwa na Money penny kutoka kund B,karibun
Hivi upo serious kweli ama umekosa cha kufanya? Picha zao ziko wapi ama unapiga picha kwa kutumia Avator
 
Picha ya cutylove hii hapa
images%20(8).jpeg
 
Kuwajua kwako unahis kila mtu anawajua. We jamaa umekula kipolo cha lini aise..

Nimemkataa Shetan na mambo yake yote..
 
Back
Top Bottom