Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Wewe sasa ndio umenimaliza mbavu zanguAcha uongo Cutelove tunamjua humu. Ni mfupi amekomaa anapenda kuvaa sweta la bendera ya Tanzania
Sent From Galaxy S9
God save us
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sasa ndio umenimaliza mbavu zanguAcha uongo Cutelove tunamjua humu. Ni mfupi amekomaa anapenda kuvaa sweta la bendera ya Tanzania
Sent From Galaxy S9
Alie kuambia yuko Mwanza ni nani?
mtata huyu balaaMoney penny
Hahahaha, duhWote ni vibungu tu...
ila sio poa mdauJamii forum imejaliwa kuwa na warembo weng,lakn nimeona nichukue hiz sample mbil na watu mpge kura zenu il tujue ni nan ataibuka mshind
Mshind atashndanishwa na Money penny kutoka kund B,karibun
Aunt Drone!!!wote midume iyo, shauri yako
Mbona umekua mkali mrembo?44mg44
Tuheshimiane pls, na ninaomba iwe mwisho. Anonymity isikuendeshe kama gari bovu
Oh! Sio we ndio umesoma vibaya?Mbona umekua mkali mrembo?
Ila umentisha ulivyomwambia mkuu, "iwe mwisho".Oh! Sio we ndio umesoma vibaya?
Ila umentisha ulivyomwambia mkuu, "iwe mwisho".Oh! Sio we ndio umesoma vibaya?
Yes iwe mwisho.... Iwe mwisho kufunguliana nyuzi ambazo hazina kichwa wala miguuHapana...sijasoma vibaya
Ila umentisha ulivyomwambia mkuu, "iwe mwisho".
Hahahaha, pole sana RafikiYes iwe mwisho.... Iwe mwisho kufunguliana nyuzi ambazo hazina kichwa wala miguu
Mie kura yangu nadhani imeharibika au kupoteaYangu inaenda kwa Depal
Hahahaha, wanaita 'local transmission'Na hapa ndio kwanza wanasema Corona inazidi kusambaa kwa kasi TZ. [emoji848][emoji848][emoji848]