johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naomba wabobezi wa siasa za uchaguzi mnipe tafsiri ya kura za huruma.
Kuna watu walidai Tundu Lisu anatafuta kura za huruma na sasa baada ya Trump kuugua Corona baadhi ya Wamarekani wanadai Rais huyo wa Marekani anatafuta kura za huruma.
Kura za huruma zinapigwaje?
Maendeleo hayana vyama!