johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu hivi na wewe threads zako zinasubirishwa na mods kwa uhakiki kabla hazijaenda hewani?Naomba wabobezi wa siasa za uchaguzi mnipe tafsiri ya kura za huruma.
Kuna watu walidai Tundu Lisu anatafuta kura za huruma na sasa baada ya Trump kuugua Corona baadhi ya Wamarekani wanadai Rais huyo wa Marekani anatafuta kura za huruma.
Kura za huruma zinapigwaje?
Maendeleo hayana vyama!
Na tabia ya Lissu zimewakera watu wengi sana.Chadema washashindwa huu uchaguzi. Watanzania bado wanaipenda CCM kwa kiasi kikubwa sana.
Na wewe ni kibaraka wa nani?Huyo Kibaraka wenu Mnamjaza upepo Hana lolote na Hata 20% hata pata Never
Zinahakikiwa mkuu.Mkuu hivi na wewe threads zako zinasubirishwa na mods kwa uhakiki kabla hazijaenda hewani?
Hayo matusi ndio yamekatazwa na Dr Mahera!Huyo Kibaraka wenu Mnamjaza upepo Hana lolote na Hata 20% hata pata Never