Pre GE2025 Kura za Maoni CCM: Mambo muhimu Mbunge wa Moshi Mjini anayohitajika kuyafanya na kuyamaliza kabla ya October 2025.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
Mpendwa Mbunge wa Moshi Mjini,

Natumai uko salama na unaendelea vizuri.

Kama mwananchi wa Moshi, na mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM, Moshi Mjini, naandika barua hii kukujulisha kuhusu vipaumbele muhimu vya maendeleo ya mji wetu, ambayo ni muhimu kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Ni muhimu kutambua kwamba ikiwa unataka kuchaguliwa tena, unapaswa kuchukua hatua za haraka na madhubuti katika utekelezaji wa mipango hii kabla ya uchaguzi mkuu October 2025.

Vipaumbele vya Moshi Manispaa unavyohitaka kuvifanyia kazi haraka na ambavyo wapigakura walikutuma Bungeni

1. Ujenzi wa Barabara za Njia Nne:
Ujenzi wa barabara za njia nne kutoka Mijohoroni kupitia YMCA kuelekea Arusha hadi Maili Sita ni muhimu ili kupunguza msongamano wa magari na kuboresha usafiri.

Barabara hii itasaidia kuunganisha maeneo mbalimbali na kurahisisha usafiri wa abiria na mizigo.

2. Ujenzi wa Barabara ya Njia Mbili kutoka YMCA hadi KCMC Hospital:
Barabara hii ni muhimu kwa ajili ya huduma za afya, kwani itarahisisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wakazi wa Moshi. KCMC ni hospitali kuu, na barabara hii itahakikisha kuwa wagonjwa wanapata huduma haraka zaidi.

3. Ujenzi wa Stand Kubwa ya Mabasi Nganga Mfumuni:
Ujenzi wa stand hii utasaidia katika kupanga na kusimamia usafiri wa umma, kupunguza msongamano na kuboresha hali ya usafiri wa abiria. Stand hii itakuwa na uwezo wa kuhudumia mabasi mengi na itatoa huduma bora kwa wakazi wa Moshi.

4. Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa King Jorge, Memoria:
Uwanja huu utatoa nafasi kwa vijana kushiriki katika michezo na shughuli za kijamii. Ni muhimu kuunga mkono vipaji vya vijana na kuimarisha afya zao kupitia michezo.

5. Kuvunja Majengo ya Zamani ya Hospitali ya Mawenzi:
Hospitali ya Mawenzi inahitaji ukarabati wa kina. Kuvunja majengo ya zamani na kujenga majengo mapya ya kisasa kutasaidia kuboresha huduma za afya na kutoa mazingira bora kwa wagonjwa na wafanyakazi wa afya.

6. Uwekaji wa Taa za Barabarani:
Uwekaji wa taa za barabarani nje na ndani ya mji utaboresha usalama wa barabara, hasa usiku. Taa hizi zitasaidia kupunguza ajali na kuongeza usalama kwa watembea kwa miguu na waendesha baiskeli.

7. Kuupanua Mji wa Moshi na Kuufanya Jiji:
Kuupanua mji wa Moshi na kuufanya jiji kutasaidia kuleta maendeleo zaidi. Hii itahusisha mipango ya ujenzi wa miundombinu, huduma za kijamii, na kuboresha mazingira ya biashara.

8. Kulipa / Kutimiza ahadi ulizo Ahidi taasisi mbali mbali,vikundi,watu binafsi kwa haraka iwezekanavyo.

Hitimisho

Moshi ni mji wenye uwezo mkubwa wa kuendelea na kuleta maendeleo kwa jamii yetu.

Hata hivyo, ili kufikia malengo haya, ni muhimu kwa wewe kama mbunge kutekeleza mipango hii kwa haraka na kwa ufanisi vinginevyo,usigombee Tena ubunge.

Wananchi wa Moshi wanatarajia kuona hatua chanya zinazochukuliwa na wewe kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Tunaamini kwamba kama utaweza kutekeleza vipaumbele hivi, utajijengea msingi imara wa kuweza kuchaguliwa tena katika uchaguzi ujao.

Tafadhali chukua hatua hizi kwa umakini, na hakika tutakuunga mkono katika juhudi zako.

Asante kwa muda wako, na tunatarajia kuona mabadiliko chanya katika mji wetu wa Moshi.

Wako kwa dhati,

Wajumbe Wapiga kura za maoni ( Mkutano Mkuu wa CCM 2025, Moshi Mjini -Tanzania

CC: KATIBU WA CCM MOSHI MJINI.
 
Ameshachelewa! Kama hakuyafanya kwa hiki kipindi cha miaka 5 inayoisha,hawezi kuyafanya tena kwa kwa miezi 6 iliyobaki.
Atafute sera nyingine za kuwaridhisha ili wampigie kura tena!
 
Mpendwa Mbunge wa Moshi Mjini,

Natumai uko salama na unaendelea vizuri.

Kama mwananchi wa Moshi, na mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM, Moshi Mjini, naandika barua hii kukujulisha kuhusu vipaumbele muhimu vya maendeleo ya mji wetu, ambayo ni muhimu kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Ni muhimu kutambua kwamba ikiwa unataka kuchaguliwa tena, unapaswa kuchukua hatua za haraka na madhubuti katika utekelezaji wa mipango hii kabla ya uchaguzi mkuu October 2025.

Vipaumbele vya Moshi Manispaa unavyohitaka kuvifsnyia kazi haraka

1. Ujenzi wa Barabara za Njia Nne:
Ujenzi wa barabara za njia nne kutoka Mijohoroni kupitia YMCA kuelekea Arusha hadi Maili Sita ni muhimu ili kupunguza msongamano wa magari na kuboresha usafiri.

Barabara hii itasaidia kuunganisha maeneo mbalimbali na kurahisisha usafiri wa abiria na mizigo.

2. Ujenzi wa Barabara ya Njia Mbili kutoka YMCA hadi KCMC Hospital:
Barabara hii ni muhimu kwa ajili ya huduma za afya, kwani itarahisisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wakazi wa Moshi. KCMC ni hospitali kuu, na barabara hii itahakikisha kuwa wagonjwa wanapata huduma haraka zaidi.

3. Ujenzi wa Stand Kubwa ya Mabasi Nganga Mfumuni:
Ujenzi wa stand hii utasaidia katika kupanga na kusimamia usafiri wa umma, kupunguza msongamano na kuboresha hali ya usafiri wa abiria. Stand hii itakuwa na uwezo wa kuhudumia mabasi mengi na itatoa huduma bora kwa wakazi wa Moshi.

4. Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa King Jorge, Memoria:
Uwanja huu utatoa nafasi kwa vijana kushiriki katika michezo na shughuli za kijamii. Ni muhimu kuunga mkono vipaji vya vijana na kuimarisha afya zao kupitia michezo.

5. Kuvunja Majengo ya Zamani ya Hospitali ya Mawenzi:
Hospitali ya Mawenzi inahitaji ukarabati wa kina. Kuvunja majengo ya zamani na kujenga majengo mapya ya kisasa kutasaidia kuboresha huduma za afya na kutoa mazingira bora kwa wagonjwa na wafanyakazi wa afya.

6. Uwekaji wa Taa za Barabarani:
Uwekaji wa taa za barabarani nje na ndani ya mji utaboresha usalama wa barabara, hasa usiku. Taa hizi zitasaidia kupunguza ajali na kuongeza usalama kwa watembea kwa miguu na waendesha baiskeli.

7. Kuupanua Mji wa Moshi na Kuufanya Jiji:
Kuupanua mji wa Moshi na kuufanya jiji kutasaidia kuleta maendeleo zaidi. Hii itahusisha mipango ya ujenzi wa miundombinu, huduma za kijamii, na kuboresha mazingira ya biashara.

8. Kulipa ahadi ulizo Ahidi taasisi mbali mbali,vikundi,watu binafsi kwa haraka iwezekanavyo.

Hitimisho

Moshi ni mji wenye uwezo mkubwa wa kuendelea na kuleta maendeleo kwa jamii yetu.

Hata hivyo, ili kufikia malengo haya, ni muhimu kwa wewe kama mbunge kutekeleza mipango hii kwa haraka na kwa ufanisi vinginevyo,usigombee Tena ubunge.

Wananchi wa Moshi wanatarajia kuona hatua chanya zinazochukuliwa na wewe kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Tunaamini kwamba kama utaweza kutekeleza vipaumbele hivi, utajijengea msingi imara wa kuweza kuchaguliwa tena katika uchaguzi ujao.

Tafadhali chukua hatua hizi kwa umakini, na hakika tutakuunga mkono katika juhudi zako.

Asante kwa muda wako, na tunatarajia kuona mabadiliko chanya katika mji wetu wa Moshi.

Wako kwa dhati,

Wajumbe Wapiga kura za maoni ( Mkutano Mkuu wa CCM 2025, Moshi Mjini -Tanzania

CC: KATIBU WA CCM MOSHI MJINI.
Mkuu hiyo sio kazi/majukumu ya mbunge, unamuonea tu!

Mbunge wenu kesha timiza wajibu wake kwa kuwasilisha hayo moyoni yenu yote bungeni, kuunga sheria na kuisimamia serikali kwa mambo iliyotenga kuyafanyia huko Moshi.

Hata msipo mpa kura uchaguzi huu, mkamchagua mbunge mwingine mpya bado hataweza kuyafanya hayo.

Maana Mkuu hiyo sio kazi yake. Ibanwe serikali, maana ndiyo yenye fedha!!! Ndiyo inayokusanya kodi sio mbunge!!

Tafuta sababu nyingine ya kutomchagua mbunge wenu lakini sio hizo ulizo andika hapo juu. Huo ni uonevu!
 
Cha kushangaza zaidi na kusikitisha,mbunge anakuja na Gari la fire kutoka Dodoma kulikabithi manispaa.

2. Ambulance ya hospital ya mawenzi kutoka Dodoma,kuikabithi

3. Ukarabati wa uwanja wa majengona uwanja wa ndege.

4. Kujebga kwa kiwango cha lami Barabara ya kwenda nyumbani kwake.

Hivi vyote sio vipaumbele vya wapiga kura wa Moshi na wapiga kura wake.

- Nani alimtuma kuvileta ??

Iwao hataharakisha na kutejelezs majukumu aliyotumwa na wananchi na wanachama wa CCM, October 2025, lazima akachunge mbuzi Rombo.
 
Hiyo Barbara ya njia 4 ni mradi wa East Africa Community toka Holili Hadi namanga.
There is no way Tarimo ana any influence in that.
Kuchaguliwa labda Mama atumie ubabe kama wa Magufuli. Huyo hakupata kura za wananchi ni bao la mkono hilo.
 
Mwenye mawasiliano yake au simu yake,amjulishe ujumbe huu.
Kama hatatimiza vipaumbele tulivyo mtuma, asisahau kitu huko Dodoma.

Akaendeleze biashara za hotel na hili ni tatizo,kumchagua mbunge asiyejua mifumo ya serikali inataka nini,ili kuitumia kuwaletea wananchi maendeleo wanayo yataka kwa wakati.
 
King Jorge, Memoria:
Kwa kigezo gani?

Kwani hatuna Watanzania wenye kukidhi heshima hio?

Huko Ulaya kuna kiwanja cha mpira kinaitwa Mkwawa memorial?

Unawapa kipaumbele Wazungu kwenye mambo ya Kitaifa ya Kitanzania?
 
Kuna Kila dalili ,Moshi Mjini CCM, itamchagua Bilionea Davis Mosha.

Anayeweza kwenda Kwa speed wananchi wanayoitaka!
 
Mpendwa Mbunge wa Moshi Mjini,

Natumai uko salama na unaendelea vizuri.

Kama mwananchi wa Moshi, na mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM, Moshi Mjini, naandika barua hii kukujulisha kuhusu vipaumbele muhimu vya maendeleo ya mji wetu, ambayo ni muhimu kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Ni muhimu kutambua kwamba ikiwa unataka kuchaguliwa tena, unapaswa kuchukua hatua za haraka na madhubuti katika utekelezaji wa mipango hii kabla ya uchaguzi mkuu October 2025.

Vipaumbele vya Moshi Manispaa unavyohitaka kuvifanyia kazi haraka na ambavyo wapigakura walikutuma Bungeni

1. Ujenzi wa Barabara za Njia Nne:
Ujenzi wa barabara za njia nne kutoka Mijohoroni kupitia YMCA kuelekea Arusha hadi Maili Sita ni muhimu ili kupunguza msongamano wa magari na kuboresha usafiri.

Barabara hii itasaidia kuunganisha maeneo mbalimbali na kurahisisha usafiri wa abiria na mizigo.

2. Ujenzi wa Barabara ya Njia Mbili kutoka YMCA hadi KCMC Hospital:
Barabara hii ni muhimu kwa ajili ya huduma za afya, kwani itarahisisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wakazi wa Moshi. KCMC ni hospitali kuu, na barabara hii itahakikisha kuwa wagonjwa wanapata huduma haraka zaidi.

3. Ujenzi wa Stand Kubwa ya Mabasi Nganga Mfumuni:
Ujenzi wa stand hii utasaidia katika kupanga na kusimamia usafiri wa umma, kupunguza msongamano na kuboresha hali ya usafiri wa abiria. Stand hii itakuwa na uwezo wa kuhudumia mabasi mengi na itatoa huduma bora kwa wakazi wa Moshi.

4. Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa King Jorge, Memoria:
Uwanja huu utatoa nafasi kwa vijana kushiriki katika michezo na shughuli za kijamii. Ni muhimu kuunga mkono vipaji vya vijana na kuimarisha afya zao kupitia michezo.

5. Kuvunja Majengo ya Zamani ya Hospitali ya Mawenzi:
Hospitali ya Mawenzi inahitaji ukarabati wa kina. Kuvunja majengo ya zamani na kujenga majengo mapya ya kisasa kutasaidia kuboresha huduma za afya na kutoa mazingira bora kwa wagonjwa na wafanyakazi wa afya.

6. Uwekaji wa Taa za Barabarani:
Uwekaji wa taa za barabarani nje na ndani ya mji utaboresha usalama wa barabara, hasa usiku. Taa hizi zitasaidia kupunguza ajali na kuongeza usalama kwa watembea kwa miguu na waendesha baiskeli.

7. Kuupanua Mji wa Moshi na Kuufanya Jiji:
Kuupanua mji wa Moshi na kuufanya jiji kutasaidia kuleta maendeleo zaidi. Hii itahusisha mipango ya ujenzi wa miundombinu, huduma za kijamii, na kuboresha mazingira ya biashara.

8. Kulipa / Kutimiza ahadi ulizo Ahidi taasisi mbali mbali,vikundi,watu binafsi kwa haraka iwezekanavyo.

Hitimisho

Moshi ni mji wenye uwezo mkubwa wa kuendelea na kuleta maendeleo kwa jamii yetu.

Hata hivyo, ili kufikia malengo haya, ni muhimu kwa wewe kama mbunge kutekeleza mipango hii kwa haraka na kwa ufanisi vinginevyo,usigombee Tena ubunge.

Wananchi wa Moshi wanatarajia kuona hatua chanya zinazochukuliwa na wewe kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Tunaamini kwamba kama utaweza kutekeleza vipaumbele hivi, utajijengea msingi imara wa kuweza kuchaguliwa tena katika uchaguzi ujao.

Tafadhali chukua hatua hizi kwa umakini, na hakika tutakuunga mkono katika juhudi zako.

Asante kwa muda wako, na tunatarajia kuona mabadiliko chanya katika mji wetu wa Moshi.

Wako kwa dhati,

Wajumbe Wapiga kura za maoni ( Mkutano Mkuu wa CCM 2025, Moshi Mjini -Tanzania

CC: KATIBU WA CCM MOSHI MJINI.
Muda umeshaisha, oktoba ipo karibu hawezi kutekeleza yote
 
CC: KATIBU WA CCM MOSHI
Kwa namna ulivyo andika je mpaka sasa mbunge PRISCUS TARIMO yapi aliyofanya na mabadiliko gani yapo Moshi kwa mwaka 2020-2024???

Najua wewe ni mfuasi mwenye kujipamba na uzalendo lakini sio uhalisia wako embu tujuze hapo mambo yaliyofanyika Kisha tuajadili pamoja.
 
1. Uwanja wa ndege( kazi inaendelea)

2. Hospitali ya Wilaya

3. Uwanja wa mpira Majengo

4. Shule Mpya 4. Za Msingi 2, Sekondari 2

5. Jengo la matibabu ya kansa kwa mionzi

6. Jengo la Mama na mtoto, jengo la matibabu ya dharura (EMD) jengo la kuhifadhi maiti pale Mawenzi Hospitali

7. Ambulance 5 na coaster ya kubeba staff mawenzi

8. Gari jipya la zimamoto na uokoaji

9. Barabara mpya za lami

a. mission road@Karanga,
b. Barabara ya Mapipa@kcmc,
c. barabara ya ndesiangau Karanga,
d. barabara ya misitu Mji mpya,
e. barabara ya Tomboss@Msaranga,
f. Diwani Kimaro Road@kaloleni)

10. Ujenzi ofisi ya mtendaji na kituo cha polisi Karanga/njoro/korongoni (kazi inaendelea)

11. Ugawaji majiko kwa mama lishe kuongeza matumizi ya nishati safi

12. Kachangia 11M ujenzi jengo la Mama na mtoto St. Joseph Hospitali....

13. Na kazi nyingine tele ndani ya jimbo.
 
Heee!! Yote hayo ayafanye Kwa miezi mitano tu aliyobakiza? Huyo ndo hivyo kwaheri yake
 
Kwa namna ulivyo andika je mpaka sasa mbunge PRISCUS TARIMO yapi aliyofanya na mabadiliko gani yapo Moshi kwa mwaka 2020-2024???

Najua wewe ni mfuasi mwenye kujipamba na uzalendo lakini sio uhalisia wako embu tujuze hapo mambo yaliyofanyika Kisha tuajadili pamoja.
Haya ni nani kayasimamia MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI..

1. Uwanja wa ndege( kazi itaendelea muda sio mrefu)

2. Hospitali ya Wilaya

3. Uwanja wa mpira Majengo(kazi inaendelea)

4. Shule Mpya 4. Za Msingi 2, Sekondari 2

5. Jengo la matibabu ya kansa kwa mionzi

6. Jengo la Mama na mtoto, jengo la matibabu ya dharura (EMD) jengo la kuhifadhi maiti pale Mawenzi Hospitali (kazi inaendelea nenda kapige picha uone mabadiliko)

7. Ambulance 5 na coaster ya kubeba staff mawenzi

8. Gari mbili mpya la zimamoto na uokoaji

9. Barabara mpya za lami

a. mission road@Karanga,
b. Barabara ya Mapipa@kcmc,
c. barabara ya ndesiangau Karanga,
d. barabara ya misitu Mji mpya,
e. barabara ya Tomboss@Msaranga,
f. Diwani Kimaro Road@kaloleni)

10. Ujenzi ofisi ya mtendaji na kituo cha polisi Karanga/njoro/korongoni (kazi inaendelea na njoro imekamilika)

Back
Top Bottom