Pre GE2025 Kura za Maoni CCM: Mambo muhimu Mbunge wa Moshi Mjini anayohitajika kuyafanya na kuyamaliza kabla ya October 2025.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha kupotosha watu mbunge kafanya kazi kubwa sana kuliko wapinzani waliokaa kwa miaka 20 usijidai mwanaccm kumbe mpinzani kibaraka wa Ibraline acha kupotosha mbunge amefanya makubwa sana nipongezi kubwa sana kwake na hata mpaka sasa nenda pale mawenzi usikie aibu majengo yalivyojengwa na njoo mbuyuni pameungua kajitahidi pamejengwa hapa kuwa katika ahadi.. njoo magari ya ZIMAMOTO au haya yote sio kazi alitakiwa atoe pesa MFUKONI na huyo mbunge anayetoa fedha MFUKONI kwake ni yupi au kazi ni zipi afanye ilimseme kafanya??

Stand ngangamfumuni tayari kashaipigania na sasa wakandarasi wanarejea kuanza kazi na UWANJA WA ndege nao utaanza kujengwa hivi punde pesa ishawekwa na serikali kuu je ajenge nini turidhike???
 
Ajabu sana kwani wewe unatumia aina gani ya akili kichwani kwako??

Unakiri kuleta gari je ulitaka alete nini maendeleo ni aina Tofauti ya miradi na utatuzi WA kero aina mbalimbali sasa wewe ulitaka alete gari ya kutembelea??

Unakiri ukarabati wa Uwanja wa mpira na uwanja wa ndege je ulitaka ajenge mpya au hayo sio maendeleo??

Kajenga barabara ya kwenda kwake kwanini unapotosha jamii kiasi hiki kwanini usiseme kweli hujaona boss wako ibraline amejenga kale kasheli kake kwenye open space??

Endelea kutumwa kupotosha ila Moshi inakwenda na PRISCUS TARIMO BINGWAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…