Elections 2010 Kura za maoni JF: Uchaguzi wa raisi 2010:

Elections 2010 Kura za maoni JF: Uchaguzi wa raisi 2010:

MILKYWAY GALAXY

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2008
Posts
204
Reaction score
87
Ngugu zangu katika mapambano,
Nashtushwa sana na hii trend ya kura za raisi wetu mtarajiwa "the real DR" Slaa kupungua polepolee katika hii forum makini JF.
Je ni sababu ya mamluki wa CCM?
Je ni demokrasia iko kazini?
Je ni umaarufu wa raisi wetu unashuka?
Je ni umaarufu wa JK unapanda?
etc?
 
Ni kweli . Mamluki wamevamia jamvi toka itangazwe kuwa hapa Doctor anaongoza. Wako majunior kibao na kazi yao kuvote JK.

Haisumbui kitu maana hata wangeingia elfu tano bado presida Slaa yuko juu.
 
Nyie mnaojiona siyo mamluki mumeandikiwa JF kwenye birth certificate zenu ama ndiyo inakuwaje? :becky:
 
Back
Top Bottom