Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,490
- 7,422
Katika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni.
Mawaziri wa kiume woote kasoro yeye tu wamepita kwenye kura za maoni.
Manaibu waziri pia woote, yaani wote hata wale waliotoka upinzani wamepita.
Cha kwanza nakosa imani na kura za maoni majimbo yaliyokuwa na mawaziri, nanusa harufu fulani ya mkono wa mtu katika kura za maoni majimbo ya mawaziri na manaibu waziri.
Pili, nashindwa kuwa na jibu inakuaje Mwakyembe peke yake waziri katika mawaziri wote wa kiume yeye pekee tu apoteze kura za maoni?