Uchaguzi 2020 Kura za maoni Kyela ni kitendawili na zinashtua

Hakuna igizo au mpango fulani hapa? Kwa nini ni yeye tu peke yake kati ya mawaziri?
Kwani mawaziri wote wamepigiwa Kura na watu wa kyela/wanyakyusa?..mi nadhani his time was up.. sometimes changes is inevitable.
 
Mbna nasikia hata Mpina nae katupwa na kugeuka kuwa bondia?
 
wewe kutoka mawaziri 40 wameshindwa kura za maoni watatu

Halafu mawaziri wote na wengine ambao nahisi kuna namna wameshinda kwa kuzoa mikura yaani tofautisha na wengine waliohangaika kushinda
Watatu Ni yupi? Mi nafahamu Mwakyemve na Mgumba basi
 
maswali ya kijinga Kama haya ndo yanayotufanya tuendeleee kuwa maskini Sasa Kama sababu yy ni Waziri kwamba lazima apite palikuwa na umuhimu gani wa kura za maoni?
Pili yy ndo Waziri wa kwanza kuzama unakumbuka wasira aliyejiaminisha kipenzi Cha jk kipi kilimtokea?
tatu kwa Yale majigambo ya yy alikuja kyela ameshashiba toka bunge la east Afrika lenye mshahara Mara 3 zaidi hata ww ungekuwa mjumbe ungempa kura?
 
Mwakyembe amesha poteza mvuto wa kuongoza wana kyela sababu ya dharau zake kwa anao waongoza.

Anajiona ni msomi kuliko wote hapa Tanzania. Sasa malipo yake ndiyo hayo.
 
hata uwe bora kiasi gani inafikia wakati watu wanakuchoka,that is nature! alichokwa Mwalimu nyerere sembuse mwakembe!
 
Hivi ni Jambo gani la maana kalifanya tokea awe waziri ndio maana na degree zake nne aliondolewa wizara ya sheria akapelekwa michezo ambako nako alikuwa anavurunda
 
Mwakyembe amekuwa anadharau sana walioishia elimu ya darasa la saba na hao darasa la saba B wamemla kichwa kura za maoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…