Uchaguzi 2020 Kura za maoni Kyela ni kitendawili na zinashtua

Katika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni.

Mawaziri wa kiume woote kasoro yeye tu wamepita kwenye kura za maoni.

Manaibu waziri pia woote, yaani wote hata wale waliotoka upinzani wamepita.

Cha kwanza nakosa imani na kura za maoni majimbo yaliyokuwa na mawaziri, nanusa harufu fulani ya mkono wa mtu katika kura za maoni majimbo ya mawaziri na manaibu waziri.

Pili, nashindwa kuwa na jibu inakuaje Mwakyembe peke yake waziri katika mawaziri wote wa kiume yeye pekee tu apoteze kura za maoni?
Unatudanganyaje hv hv tu mchana kweupeeee
N kwel hakuna Naibu Waziri alyeshindwa kwny kura za maoni?????
 
Mwakyembe, Maghembe, Kitwanga, Lwenge nk kwa sasa wapumzike tu.
Siasa za majimboni zilishawatupa toka 2015 lakini wakalazimisha game iwabebe.
Hata kwa bunduki mwaka huu wasingeweza kuvuka.
Lwenge ndio waziri wa ujenzi?
 
Naombeni matokeo ya Tandahimba kule kwa Katani aliye toka CUF akaenda CCM .
 
Katika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni.

Mawaziri wa kiume woote kasoro yeye tu wamepita kwenye kura za maoni.

Manaibu waziri pia woote, yaani wote hata wale waliotoka upinzani wamepita.

Cha kwanza nakosa imani na kura za maoni majimbo yaliyokuwa na mawaziri, nanusa harufu fulani ya mkono wa mtu katika kura za maoni majimbo ya mawaziri na manaibu waziri.

Pili, nashindwa kuwa na jibu inakuaje Mwakyembe peke yake waziri katika mawaziri wote wa kiume yeye pekee tu apoteze kura za maoni?
Hayakuhusu. We pambania warembo wa viti maalumu ufipa
 
Mheshimiwa Mwakyembe kapata kura nyingi sana hapo Kyela ange gombea Elias Mwakalinga katibu mkuu wizara ya Ujenzi angepata kula chache Mnoo.
 
Back
Top Bottom