johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pa kupumzikia kwa makada wa ccmCha msingi kila mtu ana haki ya kugombea
Cha msingi kila mgombea amejua majukumu ya wanachokigombania nacho ni kuwa kuna malipo na posho poa katika ubunge wa viti maalumu.Cha msingi kila mtu ana haki ya kugombea
Uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu CCM unaendelea katika mikoa mbalimbali na hapa DSM jumla ya akina mama 252 wametia nia na wajumbe wa mkutano wa uchaguzi ni 263.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani Bashiru ataacha kumpaka ubunge wa viti maalum Paulina Gekul?Chadema wanasubiri kugawia wake zao na dada zao tu
Tatu!Daaaaaa
Halafu zinagombewa nafasi ngapi?
Wangekuwa wanaruhusiwa kupiga kura na wao wote inamaana hapo mshindi angepata kura mbili.Uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu CCM unaendelea katika mikoa mbalimbali na hapa DSM jumla ya akina mama 252 wametia nia na wajumbe wa mkutano wa uchaguzi ni 263.
Maendeleo hayana vyama!
[emoji23][emoji23]Dr. Bashiru ana hasira sana wajumbe wa babati wamemtia spana Puline Gekul wake.
Angemshauri aje apambane na huku.
Kairuki huko upareni hajapita kwenye Jimbo?Kwani Bashiru ataacha kumpaka ubunge wa viti maalum Paulina Gekul?
Ama Jiwe atamtosa Angela Kairuki?
Bora kumsitiri mkeo na dada yako ubunge wa bure, kuliko kimada wako tena mke wa mtu.
Kumbe ndo kipozeo chakeDr. Bashiru ana hasira sana wajumbe wa babati wamemtia spana Puline Gekul wake.
Angemshauri aje apambane na huku.
Mkuu hesabu ya wapi hii ? Wajumbe 263 + wagombea 252; kwahio kama wagombea wangepiga bado wangezigawana zile 263, hence kila mtu angepata moja plus zozote za kupigiwa... inawezekana mmoja angepata 264 na wengine wote moja, moja...Wangekuwa wanaruhusiwa kupiga kura na wao wote inamaana hapo mshindi angepata kura mbili.