Uchaguzi 2020 Kura za maoni UWT ya CCM watia nia ni 252 na wapiga kura ni 263

Kwani Bashiru ataacha kumpaka ubunge wa viti maalum Paulina Gekul?
Ama Jiwe atamtosa Angela Kairuki?

Bora kumsitiri mkeo na dada yako ubunge wa bure, kuliko kimada wako tena mke wa mtu.
Kwan bashiru anamla gekul? Lol
 
Kuna kitu siku kifahamu kumbee bungeni kuna wawakilishi wa taasisi zisizo za serikali ? Niliona ktk ukurasa wa Milad ayo aliandika eti ktk huo mkutano wa uWT Kigoma kuna wawakikishi wa taasissi zisizo za serikal. Sa nikasema taasisi zisizo za serikal zina fanya nn ndan ya CCM ambao CCM ndio serikali
 
Kuna had nafasi za NGOs huko, wafanyakazi, walemavu
 
Kuna had nafasi za NGOs huko, wafanyakazi, walemavu
NGOs mwakilishi wake anachaguliwaje na UWT ambao ni CCM , CCM ndio serikali kwann NGOs zenyewe zisiwe zinachahuana automaticall wanapeleka jina bungeni bqc qnakuwa mwakilishi ambae hafungaman na chama chochote cha siasa
 
Umeandika hoja yenye mashiko hapa
 
Matokeo huko Viti maalum viipi? Au ndiyo yameshafunikwa na msiba?. Waliopata YAI LA MWEWE watakuwa wanashangilia maana media leo ziko msibani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…