Kura za rais Kenya kutangazwa vituoni

Vyama vimeruhusiwa tayari kukusanya na kujumuisha matokeo yao, kila hawaruhusiwi ni kuyatangaza moja kwa moja, lakini wamepewa ruhusa ya kukusanya na kukokotoa mahesabu yao halafu hatimaye wanatulia nayo wakisubiri yale ya tume.
Hapa kwetu Maalim alijitangaza yeye ni mshindi. Baada ya matokeo kufutwa akadai kaonewa. uchaguzi wa marudio hakushiriki anadai yeye ni mshindi kutokana na kura alizozihesabu yeye. Tusaidieni kuwaelimisha wapinzani wa kwetu , kwa maana hawajielewi na kutokana na kutokujielewa huko wanaleta mtafaruku usiokuwa na sababu katika jamii yetu ya kitanzania iliyostaarabika.
 
Yes, alitaka kuiba, unaogopa nini kutangaza kituoni? Unaogopa nini mikutano ya siasa, unaogopa nini watu kukukosoa? Unaogopa nini watu wakisema? (kama hawasemi uongo)
Hivi uchanguzi wa kenya unaufuatilia mkuu? Kampeni zote unazifuatilia? Ungekuwa unazifuatilia usingeandika ulicho kiandika...
 
hapa kwetu mshindi akitoka upinzani tume ufuta matokeo ili tu mombea wa chama kilichoko madarakani kama alivyolazimisha shein zanzibar.
 
Hapo tayari Kenyatta Ameshazibitiwa.
Safi sana.
Vyama tawala vingi vya Afrika ni majizi haswa ya kura mfano CCM.
Ni mapema mno kuthibitisha kushindwa "Burning spear"
Kimsingi sii jambo la kuombea kabisaa!!

Yaani Rwanda -dikteta
Uganda - Dikteta
Tanzan - Dictetor uchwara!!!
Na kenya mnaiombea balaa?
 
Mahakama ya rufaa Kenya Leo imeamua kuwa kura za rais ni lazima zitangazwe vituoni kama katiba yao inavyoelekeza. Katiba yetu nayo iwekewe ibara hiyo.
Lakini hii yote ni kutokana na independence of the Kenya Judiciary, hapa anayeshikiria akienda kinyume na boss hampi ukuu. If it were you, what would you do? Will you opt to preserve the cardinal principle of judicial independence?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…