Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Hapa kwetu Maalim alijitangaza yeye ni mshindi. Baada ya matokeo kufutwa akadai kaonewa. uchaguzi wa marudio hakushiriki anadai yeye ni mshindi kutokana na kura alizozihesabu yeye. Tusaidieni kuwaelimisha wapinzani wa kwetu , kwa maana hawajielewi na kutokana na kutokujielewa huko wanaleta mtafaruku usiokuwa na sababu katika jamii yetu ya kitanzania iliyostaarabika.Vyama vimeruhusiwa tayari kukusanya na kujumuisha matokeo yao, kila hawaruhusiwi ni kuyatangaza moja kwa moja, lakini wamepewa ruhusa ya kukusanya na kukokotoa mahesabu yao halafu hatimaye wanatulia nayo wakisubiri yale ya tume.