Kura Za Siri Na Kielektronik Kutumika Bunge La Katiba!!

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,423
Reaction score
3,297
Katika hali ya kuweka mambo sawa wajumbe wa bunge la katiba wameridhia kwa pamoja kutumia kura za SIRI na zile za KIELEKTRONIK kupitisha mambo mbalimbali bungeni humo.
Hayo yamefikiwa baada ya wajumbe waaminifu kuona kwamba mawazo yao yataburuzwa na matakwa ya vyama vyao nao wako pale kutunga katiba mpya na sio kuweka viraka.
Hii pia itawaondolea wajumbe hofu ya kupiga kura yake kwani ule utaratibu wa bunge la kawaida watu kuitikia Ndiyoooooo!!! kama uko kinyume na wabunge wenzako hukupelekea kutizamwa vibaya, sasa hapa tuko huru kupiga kura kadri unavyotaka unavyotaka mwenyewe.

Mungu Ibariki Tanzania.

Je upigaji kura huo utawasaidia wajumbe hao kuwa huru na kuheshimu mitazamo yao kwa mustakabali wa Taifa Letu?
Je vile vyama vyenye misimamo kwa wawakilishi wao vimeangukia pua?
Yetu macho na masikio tusubiri tuone.
 
Sio kwa Tanzania,just take my word it gonna never work
 
Manual voting is a sure way to go with but electronic voting receives my BIG NO,Why?because some crooked people can manipulate the system into their advantage!
 
Kwa sasa kura sahihi ni za kuandika katika karatasi kwa siri, na hiyo ya kielektroniki itapenyezewa mzengwe tu. Hii ni bongo!!
 
Manual voting is a sure way to go with but electronic voting receives my BIG NO,Why?because some crooked people can manipulate the system into their advantage!

Mkuu nashukuru umeliona hilo. Zipigwe kura za siri kwenye karatasi kuondoa ujanja unaoweza kutokea.
Hizo zinawezwa kutunzwa kwa kumbukumbu za baadaye kuhesabiwa upya kama kuna utata
 
ok for the technology, but what about the crooks, who will oversee them.
 
Chamuhimu lazima kuwe na screen kubwa mbele itakayoonyesha seatinhg arrangment na mbunge aone kwa hakika kura yake imehesabiwa kama alivyopiga.

Hakuna kura ya siri kwenye siasa, Wamrekani upigaji wako wa kura ndio utakao determine fate yako ya kisiasa maishani maana kila kitu ni Hadharani na wanajua nani alipinga na nani alisapoti mswaada wowote ule.
 
Hiyo rasimu ipo wazi ,mambo ya kura ni kutaka kuchomekea kwa kutumia wingi wa wajumbe ambao Mh.Kikwete alikwisha sema kila mjumbe anajua ni chama kipi ambacho anakidondokea ,na vyama vina misimamo tayari. Unafikiri hapa kuna kura au mwenye nguvu mpishe ?
 
kumbe ndo maana walikuwa wanadai wapewe na IPAD ili wawe kimtandao zaidiiiii!
 
Hiyo rasimu ipo wazi ,mambo ya kura ni kutaka kuchomekea kwa kutumia wingi wa wajumbe ambao Mh.Kikwete alikwisha sema kila mjumbe anajua ni chama kipi ambacho anakidondokea ,na vyama vina misimamo tayari. Unafikiri hapa kuna kura au mwenye nguvu mpishe ?
sikujua kuwa wajumbe wa katiba wanawakilisha vyama vyao
 
Katika hali ya kuweka mambo sawa wajumbe wa bunge la katiba wameridhia kwa pamoja kutumia kura za SIRI na zile za KIELEKTRONIK kupitisha mambo mbalimbali bungeni humo.
Hayo yamefikiwa baada ya wajumbe waaminifu kuona kwamba mawazo yao yataburuzwa na matakwa ya vyama vyao nao wako pale kutunga katiba mpya na sio kuweka viraka.
Hii pia itawaondolea wajumbe hofu ya kupiga kura yake kwani ule utaratibu wa bunge la kawaida watu kuitikia Ndiyoooooo!!! kama uko kinyume na wabunge wenzako hukupelekea kutizamwa vibaya, sasa hapa tuko huru kupiga kura kadri unavyotaka unavyotaka mwenyewe.

Mungu Ibariki Tanzania.

Je upigaji kura huo utawasaidia wajumbe hao kuwa huru na kuheshimu mitazamo yao kwa mustakabali wa Taifa Letu?
Je vile vyama vyenye misimamo kwa wawakilishi wao vimeangukia pua?
Yetu macho na masikio tusubiri tuone.

Tukumbuke Marekani walilazimika kuhesabu kura kwa mkono
 
Kwa kifupi naona siasa za wabongo zinachosa mwili, akili na roho! Sitegemei chochote toka kwa hao wajumbe, ni wapuuzi flani hv!
 
Kura ikiwa ya siri mtu haoni aibu kusimamia anachoamini
 
Hiyo system ya electronic vote itakuwa verified vipi!? Kuna jambo nyuma ya hii kitu!!
 
CCM watauchakachua huo mfumo kama kawaida yao.
 
Back
Top Bottom