babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,423
- 3,297
Katika hali ya kuweka mambo sawa wajumbe wa bunge la katiba wameridhia kwa pamoja kutumia kura za SIRI na zile za KIELEKTRONIK kupitisha mambo mbalimbali bungeni humo.
Hayo yamefikiwa baada ya wajumbe waaminifu kuona kwamba mawazo yao yataburuzwa na matakwa ya vyama vyao nao wako pale kutunga katiba mpya na sio kuweka viraka.
Hii pia itawaondolea wajumbe hofu ya kupiga kura yake kwani ule utaratibu wa bunge la kawaida watu kuitikia Ndiyoooooo!!! kama uko kinyume na wabunge wenzako hukupelekea kutizamwa vibaya, sasa hapa tuko huru kupiga kura kadri unavyotaka unavyotaka mwenyewe.
Mungu Ibariki Tanzania.
Je upigaji kura huo utawasaidia wajumbe hao kuwa huru na kuheshimu mitazamo yao kwa mustakabali wa Taifa Letu?
Je vile vyama vyenye misimamo kwa wawakilishi wao vimeangukia pua?
Yetu macho na masikio tusubiri tuone.