Majumuisho yanafanyika wapi? Matokeo ya Uchaguzi yana tangazwa na nani? Unauliza mkia wa mbuzi uko wapi? Labda kama wewe ni kipofu. Na siyo kwamba kura zinaibiwa, zinachakachuliwa.Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge yanajumlishwa kwa ngazi ya Jimbo na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa mbunge wa Jimbo husika, ni za raisi tu ndio hutangazwa tume makao makuu.
Sasa najiuliza juu ya muundo ya huo mfumo wa wizi kwa ngazi ya Jimbo na kata upoje kupitia hiyo combination ya NEC+NIDA+CCM? Au hapo wahuni hawana interest kabisa kwa ngazi ya madiwani na wabunge?
Sasa kama ni hivyo wana haja gani ya kutengeneza kura feki ?Majumuisho yanafanyika wapi? Matokeo ya Uchaguzi yana tangazwa na nani? Unauliza mkia wa mbuzi uko wapi? Labda kama wewe ni kipofu. Na siyo kwamba kura zinaibiwa, zinachakachuliwa.
Kura feli ni kujustify actual numberSasa kama ni hivyo wana haja gani ya kutengeneza kura feki ?
Waulize wao usiniulize mimiSasa kama ni hivyo wana haja gani ya kutengeneza kura feki ?
Akirudi tena baada ya hili jibu basi ujue unapoteza muda wako kumfafanulia kitu JuhaKura feli ni kujustify actual number
Kabisa. Ndo yale yake ya buku buku ilimradi kapost chochote.Akirudi tena baada ya hili jibu basi ujue unapoteza muda wako kumfafanulia kitu Juha
Kamuulize mzee wa bao la mkonoSasa kama ni hivyo wana haja gani ya kutengeneza kura feki ?
🥲🥲🥲🥲Majibu ni kama haya kiongozi
Huyu alishapigwa chini kitambo mbona🥲🥲🥲🥲
Umemharibia huyu mzee!
Itakuwa inshu Ni hii hii au alikuwa na mambo mengine?Huyu alishapigwa chini kitambo mbona
Kwahiyo huyu mwamba alikuwa na pole pole kwenye kazi hiyo?Majibu ni kama haya kiongozi
Ni hii mbona kitambo sema huyu ni mtu wao wanaitwa wazee wa mfumo(atakuwa bado humo kwenye mifumo yao anafanya kazi nyingine)Itakuwa inshu Ni hii hii au alikuwa na mambo mengine?
Nimekupa miongozo ambayo itakusaidia kupata jibu la maswali umeuliza kiongoziKwahiyo huyu mwamba alikuwa na pole pole kwenye kazi hiyo?
- Hapo sasa,Unauliza mkia wa mbuzi uko wapi?
Pole pole jana katubu.Sisi wakatoliki tumefundishwa kusamehe 7 mara 70(ndio unabii na kumjua Kristo).Kama alikuepo au hakuepo sio jambo la mimi kutoa hukumu kiongoziHuyu jamaa alikuwa kwenye kazi hii na pole pole si ndio?
Uchaguzi wa vyama vingi ulianza 1995, hii mifumo ya NIDA ilianza 2020 yaani Kuwa na network zinazoweza kuingiliana.Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge yanajumlishwa kwa ngazi ya Jimbo na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa mbunge wa Jimbo husika, ni za raisi tu ndio hutangazwa tume makao makuu.
Sasa najiuliza juu ya muundo ya huo mfumo wa wizi kwa ngazi ya Jimbo na kata upoje kupitia hiyo combination ya NEC+NIDA+CCM? Au hapo wahuni hawana interest kabisa kwa ngazi ya madiwani na wabunge?