Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na kuboresha miundombinu katika Hospitali hiyo.
Jengo hilo lina uwezo wa kulaza Watu 200 kwa wakati mmoja, hivyo limeondoa adha iliyokuwepo awali, ambapo Wanawake wengine walilazimika kulala kwenye sakafu wakati wakisubiri au baada ya kujifungua.
#Kurasa365ZaMamaVol4.