Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na kuboresha miundombinu katika Hospitali hiyo.
Jengo hilo lina uwezo wa kulaza Watu 200 kwa wakati mmoja, hivyo limeondoa adha iliyokuwepo awali, ambapo Wanawake wengine walilazimika kulala kwenye sakafu wakati wakisubiri au baada ya kujifungua.
#Kurasa365ZaMamaVol4.
Ni ujinga tu, kutwa wanafanya kampeniShida yote hiyo ya nini? Kama kilichofanyika ni kwa ajili ya mwanainchi si atakuwa ameona kwenye eneo lake?
Sasa mnatumia nguvu nyingi kuonesha Rais kafanya hiki na hiki
Majarida kila siku ya kuonesha alichofanya nguvu yote hii mna hofu ya nini?
Kama eneo langu lilikuwa na shida ya maji na serikali imeleta maji je Kuna haja ya kuandika majarida meeeeeengi kuonesha Mama alichofanya?
Au Hofu yenu ni kitu gani?
Na hiyo ndio faida ya kua na kiongozi madhubuti mzalendo kwa manufaa ya waTanzania wote.Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na kuboresha miundombinu katika Hospitali hiyo.
Jengo hilo lina uwezo wa kulaza Watu 200 kwa wakati mmoja, hivyo limeondoa adha iliyokuwepo awali, ambapo Wanawake wengine walilazimika kulala kwenye sakafu wakati wakisubiri au baada ya kujifungua.
#Kurasa365ZaMamaVol4.
Mpuuzi ni weweMaendeleo yamegeuzwa hisani ya Rais, wapuuzi wakubwa
Matapeli wakubwa nyie, kazi kusifia ujinga ujinga tu hapaMpuuzi ni wewe