DON YRN
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 606
- 1,453
Ni kweli muda mwingine mambo huwa yanabana hadi mamlaka za Serikali kuamua kufanya maamuzi pengine yanaweza kuwa ya ajabu na kusikitisha kwa upande mmoja lakini pia kwa muda huo huo kwa upande mwingine yakawa ni maamuzi ya kutia moyo na kufurahishwa wananchi.
Swali langu ni; Je, Mamlaka za Serikali zilikuwa sahihi kuidhinisha machimbo ya mchanga na kokoto katika eneo la Kunduchi(maarufu mashimoni) na maeneo kama hayo nchini kuwa eneo rasmi kwa ajili ya makazi?
Madhara endelevu ya mabadiliko ya tabia ya nchi yalizingatiwa ikiwemo mafuriko na hata mvua za EL-NINO?.