Hakuna kilichofanyika, wote ni squatters.Sidhani kama upembuzi yakinifu wa kimazingira na mipango miji ulifanyika
Alafu sasa kule ndio hakuna mafuriko nimewahi kuishi for 3 yearsNi kweli muda mwingine mambo huwa yanabana hadi mamlaka za Serikali kuamua kufanya maamuzi pengine yanaweza kuwa ya ajabu na kusikitisha kwa upande mmoja lakini pia kwa muda huo huo kwa upande mwingine yakawa ni maamuzi ya kutia moyo na kufurahishwa wananchi.
Swali langu ni; Je, Mamlaka za Serikali zilikuwa sahihi kuidhinisha machimbo ya mchanga na kokoto katika eneo la Kunduchi(maarufu mashimoni) na maeneo kama hayo nchini kuwa eneo rasmi kwa ajili ya makazi?
Madhara endelevu ya mabadiliko ya tabia ya nchi yalizingatiwa ikiwemo mafuriko na hata mvua za EL-NINO?.
Lile eneo watu wamevamia mana zamani walikuwa wanajenga mabanda ya kuti ili wajistiri wakiwa wanafanya hizi kaz za kuchimba mchanga pale. Wakaanza kujenga na vibanda vya kudumu kuyafabya makazi.Who cares? Ccm is a failure kwenye issue serious zaidi ya hili. I will never take this goverment serious, leave alone ccm.
Lile eneo watu wamevamia mana zamani walikuwa wanajenga mabanda ya kuti ili wajistiri wakiwa wanafanya hizi kaz za kuchimba mchanga pale. Wakaanza kujenga na vibanda vya kudumu kuyafabya makazi.
Leo hii wakichomolewa kwa nguvu pale Bado myaigeuza ajenda ya kupigia kampeni. Serikali ifanyeje weka mapendekezo yako hapa
Wananchi walivamia mashimo na kuanza kujenga kidogo kidogo.
Umewahi kusikia Kuna mafuriko kule?Hakuna kilichofanyika, wote ni squatters.
Muda huo Serikali ikiwa wapi?Wananchi walivamia mashimo na kuanza kujenga kidogo kidogo.
Ikawawachia wajenge tu. Kwani tatizo nini?Muda huo Serikali ikiwa wapi?