Kurasimisha namba na TCRA

Kurasimisha namba na TCRA

Hii ya kurasimisha no ata mwenyewe unaweza ukiwa umelala kazi ndogo sana
 
Unarasimisha vitu gani,kwani laini zote mtu anasajili kwa kutumia kitambulisho cha NiDA.
Mitandao ya simu ipeleke orodha ya wateja wao huko TCRA na namba zao hata ziwe 5.
 
Back
Top Bottom