Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
e.t.c bila kusahau ile kinywaji saaafiii inaitwa togwa
Ugali wa udaga,Ugali wa mtama,Ugali wa ulezi na Ugali wa mahindi.
Mboga sasa; Kimolo,Kichure, Mlenda, Mgagani, e.t.c, e.t.c bila kusahau ile kinywaji saaafiii inaitwa togwa.
Karibuni nyumbani mkoani kwetu Mara.
bila kusahau Gichuri mura ( amang'ana gasabikile)
Kichuriii