KURE Kwetu MUSOMA

Mmmmh huko ni balaa wanafaa kuishi wenyewe waliokuzoea.
 
Hasa kwa kukeketa wanawake,
na wanawake kuoa wanawake wenzao.
Hizo ndizo mila zao.
 
Kule ndo tanzania zahiri na wenye uzarendo! Ktk uchaguzi jaribu kuiba kura uone cha moto
 
Ugali wa udaga,Ugali wa mtama,Ugali wa ulezi na Ugali wa mahindi.
Mboga sasa; Kimolo,Kichure, Mlenda, Mgagani, e.t.c, e.t.c bila kusahau ile kinywaji saaafiii inaitwa togwa.

Karibuni nyumbani mkoani kwetu Mara.

Mkuu umenifurahisha sana na hii sig hapa, you r absolutely right man!

IF YOU CAN NOT DO GREAT THINGS, DO SMALL THINGS IN A GREAT WAY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…