lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 276
- 574
AFADHALI urejeo wa TUNDU LISSU unaweza ukawa na nguvu flani katika chama ukilinganisha na hapo kabla.
Kila mwanachama wa CHADEMA amefurahi urejeo wake, sasa ni wakati sahihi kwa Chama kuanza kurejesha matumaini kwa wananchi wake ambao tayari walikuwa wamekata tamaa kutokana na matokeo ya UCHAGUZI mkuu wa mwaka 2020.