google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
naona kama Tyson bado mzima lakini, maana kwenye mazoezi yake mitupo yake si mchezo.Wanaenda kukumbatiana tu wapaate chao wasepee
mike miaka ya nyuma kidogo alikuwa anapuliza bangi sijui kama atakumbuka kumlindia mwenzie oblangata.Wote watajaribu kucheza style ambayo haitaharibu zaidi oblangata zao.
Watakumbatiana sanaaa
mike miaka ya nyuma kidogo alikuwa anapuliza bangi sijui kama atakumbuka kumlindia mwenzie oblangata.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
kwa kweli jamaa asikiki akiongea kabisa.Na kile kithembe chake Akiotewa moja ya kichwa na uzee huu lazima kipone.
Bado anapuliza na sasa amefungua kampuni ya kuuza bangi ambao atleast inamuingizia dola laki tano kla mwezi nana sasa hv ameanza kuinuka kiuchumi baada ya kuwa mufilisi kwa muda.mike miaka ya nyuma kidogo alikuwa anapuliza bangi sijui kama atakumbuka kumlindia mwenzie oblangata.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Asante kwa taarifaBado anapuliza na sasa amefungua kampuni ya kuuza bangi ambao atleast inamuingizia dola laki tano kla mwezi nana sasa hv ameanza kuinuka kiuchumi baada ya kuwa mufilisi kwa muda...
Mcheck kwenye podcast ya T.I. harris akizivuta live andika expeditiously T.I and mike tyson
Mcheck kwenye podcast ya T.I.harris akizivuta live andika expeditiously T.I and mike tyson
Wameamua kufuata kiinua mgongoHabari zenu wana jamii forum. Matumaini mko poa.
Wale wazee wa ngumi tofali, wapenzi wa mitulinga mizito kuliko ya mwakinyo na myweather, ebu tutoe tathmini zetu kuhusu kurejea ulingoni kwa mzee wa kazi ya fasta fasta akiwa uwanjani, mwamba Mike Iron Tyson hapo baadae mwezi ujao akimvaa Roy Jones...
Kwa sasa hana pumzi...... Za a zake zimepita tayari😀😀mike miaka ya nyuma kidogo alikuwa anapuliza bangi sijui kama atakumbuka kumlindia mwenzie oblangata.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app