Kurejea kwa Mike Iron Tyson ulingoni Mwezi ujao

Kurejea kwa Mike Iron Tyson ulingoni Mwezi ujao

Habari zenu wana jamii forum. Matumaini mko poa.

Wale wazee wa ngumi tofali, wapenzi wa mitulinga mizito kuliko ya mwakinyo na myweather, ebu tutoe tathmini zetu kuhusu kurejea ulingoni kwa mzee wa kazi ya fasta fasta akiwa uwanjani, mwamba Mike Iron Tyson hapo baadae mwezi ujao akimvaa Roy Jones.

Nimejaribu kupitia pitia maktaba kuona pande zote mbili enzi zao ila kwa sasa nashindwa kujua nani atamzeesha kabisa mwenzie siku wakikutana.
ebu weka ubashiri wako mezani karibun...

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Tyson umri umeishamtupa!
Anatafuta 'mpunga' agange njaa.
 
Bado anapuliza na sasa amefungua kampuni ya kuuza bangi ambao atleast inamuingizia dola laki tano kla mwezi nana sasa hv ameanza kuinuka kiuchumi baada ya kuwa mufilisi kwa muda.

Tyson aliingiza zaidi ya dola mil300 kipindi chote cha ubondia wake lakini alitumbua zote then akaanza kuuza magari na majumba yake jumba moja alimuuzia 50 cents kwa dola mil 14 akaponda raha zingine akalipa Madeni mwishoni akawa maskini.
Lakini kwa sasa sio masikini tena,jamaa ni mpambanaji sana,yuko vizuri sasa hivi financially,hebu jaribu kumcheki networth yake 2020 halafu uzi convert to Tshs uone yukoje,pia jaribu ku google uone nyumba anayoishi sasa na thamani yake,utagundua kuwa ameshatoka kule chini kabisa alikoshuka...
 
namkubali tysoni kwa vikombe anavo virusha chap chap ila waswahili wanasema ng'ome azeeki mainii ngojua tusubirie pambano ndo msema kwel
 
Back
Top Bottom