Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Tyson umri umeishamtupa!Habari zenu wana jamii forum. Matumaini mko poa.
Wale wazee wa ngumi tofali, wapenzi wa mitulinga mizito kuliko ya mwakinyo na myweather, ebu tutoe tathmini zetu kuhusu kurejea ulingoni kwa mzee wa kazi ya fasta fasta akiwa uwanjani, mwamba Mike Iron Tyson hapo baadae mwezi ujao akimvaa Roy Jones.
Nimejaribu kupitia pitia maktaba kuona pande zote mbili enzi zao ila kwa sasa nashindwa kujua nani atamzeesha kabisa mwenzie siku wakikutana.
ebu weka ubashiri wako mezani karibun...
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
asijepigwa afie uwanjani bureeeTyson umri umeishamtupa!
Anatafuta 'mpunga' agange njaa.
Sure anarusha makonda balaa.Tyson kwenye mazoezi yake anatupa matofali yaleyale ya knock out wala akuna alichopungukiwa.
Lakini kwa sasa sio masikini tena,jamaa ni mpambanaji sana,yuko vizuri sasa hivi financially,hebu jaribu kumcheki networth yake 2020 halafu uzi convert to Tshs uone yukoje,pia jaribu ku google uone nyumba anayoishi sasa na thamani yake,utagundua kuwa ameshatoka kule chini kabisa alikoshuka...Bado anapuliza na sasa amefungua kampuni ya kuuza bangi ambao atleast inamuingizia dola laki tano kla mwezi nana sasa hv ameanza kuinuka kiuchumi baada ya kuwa mufilisi kwa muda.
Tyson aliingiza zaidi ya dola mil300 kipindi chote cha ubondia wake lakini alitumbua zote then akaanza kuuza magari na majumba yake jumba moja alimuuzia 50 cents kwa dola mil 14 akaponda raha zingine akalipa Madeni mwishoni akawa maskini.
Kwahiyo hata akina Rambo, anord,no walivyotoa Expendable ilikuwa ni njaa ??Njaa mbaya sana khasa ukiiweka penye mfuko wa rambo
Ngumi au ndondi hata friend match huwa inakuwa ngumu kutekelezeka hapo unaongelea maigizo na kitu cha kweli fikiria hapo kwanza.Kwahiyo hata akina Rambo, anord,no walivyotoa Expendable ilikuwa ni njaa ??
Ulikuwa ni mpambano wa charity.Tyson umri umeishamtupa!
Anatafuta 'mpunga' agange njaa.
Hapa ungeandika anarusha bashite au kolomije ingekuwa powa sanaSure anarusha makonda balaa.
Moshi wa bangi anazovuta umemtia ujasiri wa kurudi ulingoni ili apelekwe hospitali
mbona mna singizia majaniMoshi wa bangi anazovuta umemtia ujasiri wa kurudi ulingoni ili apelekwe hospitali