Kurejeshwa kazini with check number

Kurejeshwa kazini with check number

Joined
May 28, 2023
Posts
61
Reaction score
79
Habarini wadau,

Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini.

Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye mfumo HCMS na kuweza kupangiwa kituo cha kazi.

Swali je nikiomba tu psrs au mamlaka yoyote ya ajira nchini Tz sitaingia kwenye masuala ya mchujo? Naogopa usaili wa mchujo.

Nina miaka mingi kumi na tatu toka nihitimu chuo halafu Niko mtaani je nitaweza kuchuana na freshers jibu ni hapana.

Naomba ufafanuzi.
 
Habarini wadau,
Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini. Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye mfumo HCMS na kuweza kupangiwa...
Ukiishaambiwa omba tangazo ulionapo maana yake unaingia kwenye ushindane na wengine ukifaulu usahili wengne wanapewa check namba mpyaa we unapewa yako ya zamani ni hilo tu

lazima upige msoto wa usahili na ufanikiwe
 
Back
Top Bottom