Kurejeshwa kwenye Cabinet kwa mawaziri Simbachawene na Mwigulu - tatizo ni bulb au holder?

toka nimezaliwa sijawahi kusikia popote duniani eti waziri wa katiba na sheria ambaye hana elimu ya sheria...haya ni maajabu duniani!.

kwa uelewa wangu mdg, baadhi ya wizara ni lazima waziri awe na taaluma husika

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu si sifa ishu unatumia vipi mda wako kusifu na kuabudu hata wwe ukiongeza bidii atatumbuliwa mwingine utapewa
 
Simbachawene hakuondolewa kuwa na kimbukumbu

Nchemba kichwa chake kipo vizuri naona leo ufipa hamlali mnalialia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi mnaosapoti jiwe ni mangosha kwa kuwa mpo kwenye timu bashite. Mnatia aibu sana nchi hii mambo yenu ya kienyeji yanajulikana ni swala la muda tu. Nchi sasa inaongozwa king’ombe ng’ombe kabisa.
 
Chodomo mmepata pa kusemea. Tatizo lenu huwanasubiri hadi watawala wafanye kitu ndo muanze kuropoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tatizo kubwa kwa Rais wetu. Huwezi kuiamini kauli yake yoyote. Zingatia tu lile analolifanya kwa wakati huo. Kwake kauli haina maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa aliwapeleka chuo, na sasa wamehitimu vizuri amewarudisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwigulu na chawene ni Tiss inaonekana wamekuwa wakimpa taarifa nyeti sana pamoja na kutolewa kwenye vyeo vyao bado walikuwa loyal na mfumo na walikuwa wanaendelea kumshahuri Mzee Kwa karibu zaidi, Kwa kaona Bora awarejeshe waendelee Kula maisha
 
Tujifunze kucheza mziki unaopigwa na walishi wetu.
 
Tatizo ni wiring yote. Dawa ni kufumua yote kuanzia kwenye main switch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…