Kurejeshwa kwenye Cabinet kwa mawaziri Simbachawene na Mwigulu - tatizo ni bulb au holder?

Unapokuwa na vibovu tupu na huwezi kununua vipya, basi unaangalia tu kati ya vile vibovu chenye unafuu kidogo hichohicho unachukua kusogeza siku.
kwa hiyo vyote - bulb na holders ni tatizo, siyo?
 
Ni kusifu na kuabudu tu cv tosha pia Kinga ya utumbuzi na jela.
Naye akapandishwa juu ya mlima mrefu Sana Kisha akamwambia ukinisujudia nitakupa miliki na fahari zoote za dunia hii,
Aiseeee !!!
 
Amejirekebisha Mkuu kwa mujibu wa Mwalimu Kashasha.Hii Nvhi hupaswi kuiwekea hasira.

Ina bett mambo yake mengi sana.
 
Unapokuwa na vibovu tupu na huwezi kununua vipya, basi unaangalia tu kati ya vile vibovu chenye unafuu kidogo hichohicho unachukua kusogeza siku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…