Emperor of the South
Senior Member
- Nov 4, 2019
- 140
- 151
Wakuu kwema?
Nimekutana na changamoto kutumia redio iliyopo kwenye gari (ilikuja na gari) aina ya Panasonic Strada kwani hai-respond chochote na inaonekana inatakiwa kuwa na SD card ambayo kwasasa haipo. Je, kuna namna ya kuifanya redio hii ipige kazi fresh?? Ikiwa on inakua na muonekano kama kwny picha hapa.