Emperor of the South
Senior Member
- Nov 4, 2019
- 140
- 151
Wakuu kwema?
Nimekutana na changamoto kutumia redio iliyopo kwenye gari (ilikuja na gari) aina ya Panasonic Strada kwani hai-respond chochote na inaonekana inatakiwa kuwa na SD card ambayo kwasasa haipo. Je, kuna namna ya kuifanya redio hii ipige kazi fresh?? Ikiwa on inakua na muonekano kama kwny picha hapa.
Hahaha yale matakataka watu wanayapenda sanaKuna watu watakwambia uibadilishe ufunge android
Ko kwa matumizi ya redio hapa tunatokaje ndugu??Card ya nini mkuu.? Card kwaajili ya navigation tu.
View attachment 3011149
Hizo android sizielewi kbs kwakweli ndo maana naihitaji sana hii ikae sawa.Kuna watu watakwambia uibadilishe ufunge android
Nilipokwama kutumia google translate ni kwamba functions zote hapo hazi-respond ukibonyeza, ko nikadhani inahitaji hiyo card kabla ya mambo mengineYaani hapo mchawi utundu kidogo mixer Google Translate unaset fresh inaonekana nzima kabisa hiyo.. ila ulijichanganya tu na lugha