Baada ya lugha chagua tena njia moja wapo1 Swahili
2 Englishi
Baada ya hapo ingiza namba ya tapeli1 kutuma sms
2 kupigiwa simu
Of course kuna watu wa ndani wachache ambao sio waaminifu ndio huwa wanawachoreshea ramani hao matapeli.Mimi nahisi wanashirikiana na matapeli maana nikipokea tu hela ndio wananipigia
Yaani umripoti Tapeli kwa Makao Makuu ya Matapeli au? Sijui kwanini Watanzania ni wazito sana Kugundua jambo au hata tu Kulitathmini kwa upana wake.Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na njia rahisi ili kuripoti utapeli.
Piga *148*90# kisha chagua lugha.
Baada ya lugha chagua tena njia moja wapo
Baada ya hapo ingiza namba ya tapeli
Mfano 062xxxxxxx kisha tuma.
Na namba nyingi za msg za matapeli kuelekeza kutuma hela kwenye namba za mitandao mbali mbali ni za Halo tel.Of course kuna watu wa ndani wachache ambao sio waaminifu ndio huwa wanawachoreshea ramani hao matapeli.
Hujajuaga siku unapokea hela ndio ndugu na jamaa wanakupiga mizinga.pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nahisi wanashirikiana na matapeli maana nikipokea tu hela ndio wananipigia
Dah kweli mkuu hapo ulipo malizia ndo penye ukakasiHao matapeli wanaumiza sana watu
Jana nimekutana na mzee mmoja mstaafu wamempiga laki 8 yake, akapiga kuwaomba wamrudishie ana shida nayo sana.
Wakajibu eti atume na laki moja ndio watamrudishia hiyo 8k!
Nilijiskia vibaya namna mzee yule alipokuwa analalamika.. Najua hamtoamini
Nilimkabidhi yule mzee 8k.!
Duu mkuu noma Sana 🙌😲Hao matapeli wanaumiza sana watu
Jana nimekutana na mzee mmoja mstaafu wamempiga laki 8 yake, akapiga kuwaomba wamrudishie ana shida nayo sana.
Wakajibu eti atume na laki moja ndio watamrudishia hiyo 8k!
Nilijiskia vibaya namna mzee yule alipokuwa analalamika.. Najua hamtoamini
Nilimkabidhi yule mzee 8k.!